Hii ni kweli kabisa wanasayansi wanasema

nitathibitishaje, naweza kumuuliza akiwa mkubwa?
 
unatarajia first born nini mzee, manake thread kama hizi naona unazo zaidi ya moja. tunakutakia mapokezi mema ya mgeni.
Teh teh teh! MziziMkavu ni rafiki yangu anawatoto wakubwa!tena mungu amemjalia sana,kadiri siku zinavyozikwenda yeye anazidi kuwa kijana kama anavyoonekana kwenye avator!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh!Mzizimkavu ni rafiki yangu anawatoto wakubwa!tena mungu amemjalia sana,kadiri siku zinavyozikwenda yeye anazidi kuwa kijana kama anavyoonekana kwenye avator!

Aise! yaani badala ya kuzeeka yeye anazidi kuwa kijana?! hongera yake, na je ana watoto wangapi mpaka sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…