Hii ni kweli imenitokea

Umeandika vizur ila tatizo story haitupi lengo au direction ya simulizi yako
Yaan ulitaka sisi tujifunze au kutujuza nin..?
Hicho kinachokosekana
 
Umeandika vizur ila tatizo story haitupi lengo au direction ya simulizi yako
Yaan ulitaka sisi tujifunze au kutujuza nin..?
Hicho kinachokosekana
michapo tu mkuu,lengo mwenye muda asome tu. samahani kwa kukupotezea muda wako lakini
 
Yaani wewe ndo kilaza kweli, bora usinge changia kbc
ni kweli .Mimi kilaza mno .ila mleta bada ukiwa chuo kuna somo la DC na cs .kaandika kama yupo form tu wakati kijana wa chuo.kama ujaona ilo wewe ni popoma
 
Unajua kusimulia anza kuandika riwaya...
 
Du mliopita chuo MNA story Si tulioanza kutafuta hella mapema Na kukimbia shule tunatizama tuuu kama naanalia movie ya notebook
 
Sasa Je Mimi nikikupa stori ya demu aliyekosea chumba cha gesti akaja kwangu na nikamuoa patakalika hapa?
Nilikuwa hotel moja mwanamke akawa anagonga jamaa hafungui nikatoka kwa hasira nikamwambia hebu njoo akaja akasema samahani amelala hafungui nikamwambia haya ingia huku akasita kidogo. Nikamwambia unataka kuendelea kugomga shida yako nini ingia huku. Akaingia nikafunga mlango nikamvua nguo baada ya do 40 hivi nikamwambia nenda amelowa jasho tupu. Akaenda bafuni akaoga akaondoka anasonya sana. Mimi kimya nikamwambia nenda hakwenda kugonga tena... wewe ulioa sitaki tena habari ya kuoa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…