Hii ni kweli imani ya upagani itatawala dunia?

YESU ANAZIDI KUSHIKA KASI BALAA SASA ANATENDA WAZIWAZI
 
Mungu alichomoa nati hio ya kuishi bila kula ndio maana aliwaambia kula matunda yote isipokua la katikati ukila utakufa Si unakumbuka?
Kwa nini kaweka mti halafu kakataza watu wasile matunda?

Kwa nini asingeuweka huo mti au asingefanya uwepo lakini hauonekani?

Unatengeneza maswali zaidi badala ya kuyajibu.
 
Kwa nini kaweka mti halafu kakataza watu wasile matunda?

Kwa nini asingeuweka huo mti au asingefanya uwepo lakini hauonekani?

Unatengeneza maswali zaidi badala ya kuyajibu.
Aliweka mti Ila aliwaambia msile matunda yake unakumbuka?
 
Sasa Mungu aliwaumba wameungana pamoja kabla ya kuwatenganisha hakua amewapa katazo lolote walikua wanaishi vizuri tu kwenye mwili mmoja bila kuonana, Si unakumbuka?
Thibitisha kuwa hizo si hadithi za watu tu.
 
Thibitisha kuwa hizo si hadithi za watu tu.
Ndio inavyosemekana kwamba walikua wameungana kwenye mwili mmoja kabla hawajawahi kutenganishwa mpaka akaanza kusema 'wewe ni nyama katika nyama zangu na mfupa katika mifupa yangu', au wewe haujawahi kusikia?
 
Ukishaanza na "ndio inavyosemekana" unaweza kusema lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…