Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Ukiachilia mbali ubinadamu wanaume ni wepesi zaidi kuchepuka kuliko sisi wamamaNdo mnavyo jidanganya. Hakuna sababu yoyote zaidi ya nature tu. Wanawake ni binadamu, hawana tofauti na wanaume. Wakipata fursa ya kuchepuka wanachepuka tu
Hamna bwana, wote tu ni rahisi kucheat[emoji85] [emoji85]Ukiachilia mbali ubinadamu wanaume ni wepesi zaidi kuchepuka kuliko sisi wamama
Yeah..It's a nice hobby..Ebu tuacheniUkiachilia mbali ubinadamu wanaume ni wepesi zaidi kuchepuka kuliko sisi wamama
I go say na..Bkos i know unaongea kwa uzoefu zaidi tehHamna bwana, wote tu ni rahisi kucheat[emoji85] [emoji85]
mwanamke akiwa mzuri na mwenye mvuto sana, lakini ana tabia ya uzinzi, huyo atatongozwa sana na atacheat sana.Ukiachilia mbali ubinadamu wanaume ni wepesi zaidi kuchepuka kuliko sisi wamama
Si umesema ni hoby nzuri jamani.I go say na..Bkos i know unaongea kwa uzoefu zaidi teh
Tumewaacha. Kwani tuna maneno na ninyi basi..Yeah..It's a nice hobby..Ebu tuacheni
Ahaa basi sawaamwanamke akiwa mzuri na mwenye mvuto sana, lakini ana tabia ya uzinzi, huyo atatongozwa sana na atacheat sana.
mwanaume mwenye pesa na mali nyingi, lakini ni mzinzi, huyo atatongoza sana na atacheat sana.
Tofauti kubwa kati ya hao wawili, ni uwezo wa kutunza siri zao. Hicho ndicho kinamfanya mmoja aonekane katulia kuliko mwingine.
Lakini, tabia ya mtu binafsi ndio inayomatter.
Hivi umeshacheat na wangapi?Si umesema ni hoby nzuri jamani.
Sio wengi sana.Hivi umeshacheat na wangapi?
Malaya anayegegedana na nani?