Hii ni kwangu tuu ama?

Hii ni kwangu tuu ama?

Si mchezo bas

Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuni huwa twafanya tukifikiria sifa kumbe twajiletea shida.

Soma hyo chini itakusaidia
IMG_20190105_114204_053.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukwel anaujua,ananipigia sim mara nying tunaongea na kukumbushana zamani...

Ila,cha ajab anasema yeye hajawa na mahusiano mda mref tokea tumeachana,sasa namuuliza kwann,anasema anaona mizinguo tuu so kaamua kua asidate tena,mara ya mwisho tumeongea new yr hii juz anasema anawish angekua namim tena,

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ukamwambia nini? Msimamo wako hasa ni upi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom