Nicodemas Tambo Mwikozi
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 663
- 1,047
*Nimenakili mahali;*
Asubuhi mume alimuuliza mke wake, ulilala wapi? Mke akajibu amelala kwa rafiki yake wa kike. Mume akawapigia simu rafiki wa mke wake 10, lakini wote walikataa hakulala kwao.
Siku ya pili mume alilala nje, asubuhi aliulizwa na mkewe ulilala wapi? Mume alijibu nimelala kwa rafiki yangu wa kiume. Mke akawapigia rafiki wa mume wake 10. Rafiki 8 walikubali kuwa alilala kwao.
Cha ajabu ni kuwa wawili waliobaki walidai kuwa hadi wakati wanaongea na simu mume wake bado yupo kwao. Hiyo ndo tofauti ya wanawake na wanaume. Wanawake hawatunziani siri labda kwa masharti. Wanaume wako tayari kutunziana siri hata kama hawajaambiwa. Hata kama hawajui chochote kuhusu hiyo siri.