Hii Ni Kwa Wazalendo Tu ( ACT)

Hii Ni Kwa Wazalendo Tu ( ACT)

MAHORO

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
7,585
Reaction score
2,570
Ndugu Wazalendo Wenzangu, Naomba Kujuzwa Mawili Matatu Juu Ya Uzinduzi Wa Chama Chetu Jumapili Iliyopita. Kama Chama Chetu Kinavyoitwa Chama Cha Uwazi, Hivi Gharama Za Kukodi Ukumbi Ilikua Shng Ngapi?

Zile Takeaway Na Maji Viligarimu Kiasi Gani? Na Matangazo Ya Itv Yaligharimu Kiasi Gani? Na Gharama Zote Hizo Zimelipwa Na Nani Wakati Chama Chetu Hakina Ruzuku Na Sijawahi Ona Tukichangishana? Naomba Kujua Na Wafadhili Pia. Act Chama Cha Wazalendo, Tanzania Kwanza.
 
.... Ndugu Wazalendo Wenzangu, Naomba Kujuzwa Mawili Matatu Juu Ya Uzinduzi Wa Chama Chetu Jumapili Iliyopita. Kama Chama Chetu Kinavyoitwa Chama Cha Uwazi, Hivi Gharama Za Kukodi Ukumbi Ilikua Shng Ngapi? Zile Takeaway Na Maji Viligarimu Kiasi Gani? Na Matangazo Ya Itv Yaligharimu Kiasi Gani? Na Gharama Zote Hizo Zimelipwa Na Nani Wakati Chama Chetu Hakina Ruzuku Na Sijawahi Ona Tukichangishana? Naomba Kujua Na Wafadhili Pia. Act Chama Cha Wazalendo, Tanzania Kwanza.

chama cha mapinduzi (CCM)
 
2ambien chama cha uwaz na ukwl.
 
Mkuu MAHORO wakikujibu hayo maswali, nahama nchi. Pili, usiporidhika na majibu yao unaweza pata ufafanuzi wa hayo maswali toka kwa Juliana Shonza anajua source of fund ya ACT-Wazalendo.
 
Pia tunaomba kujuzwa yafuatayo:
1.yale magari mabovu ya mbowe aliyokiuzia chama yaligharimu kiasi gan?
2.kwanini chadema inaogopa kukaguliwa na CAG?
3.zile pesa za chama alizojikopesha dr slaa amezirudisha?
 
Siyo lazima majibuyote hayo uyapate jf, kunasehem husuka nenda utayapata au nakuomba uweke namba za kadiyako ya ACT Kwanza uelekezwe mahala sahihi kupewa majibu mengi yenye uwazi na uzalendo NB: KUENDELEA KUPOTEZA MUDA NA AcT NIKUDHIHIRISHA CCM HAWANA MPINZANI NCHI HII
 
Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa wana tuhuma nzito za ufisadi wa Website ya CHADEMA
Wana body, amani iwe kwenu.

Taarifa za kuaminika ambazo intelijensia ya Lizaboni imepata ndani ya CHADEMA ni kwambaFreeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA na Katibu Mkuu Dr Slaa wanahujumu pesa ambazo zilitengwa kwa ajili ya kuendeshea Website ya chama ambayo ni Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo – Chadema. Kwamba, kiasi cha shilingi milioni 25 kilitengwa kila mwezi na mfadhili mkuu wa chama, taasisi ya Ujerumani ya CAS kwa ajili ya kuboresha mfumo wa kusambaza taarifa za chama kupitia website hiyo. Kwamba fedha hizo zimeingizwa kwenye akaunti ya chama na zinatolewa kila mwezi kwa maelezo eti zinatumika kulipa mishahara waandishi wa mtandao huo, kugharamia gharaza za simu, tozo mbalimbali na matumizi mengine.

Cha kushangaza ni kwamba, hakuna hata mwandishi mmoja ambaye anapokea mshahara kutokana na kazi ya kuandika kwenye mtandao huo. Inaelezwa pia kuwa kwa sasa mtandao huo hauna msimamizi maalum na inaelezwa kuwa Dr Slaa alisitisha ajira za vijana waliokuwa wanaandika taarifa kwenye mtandao huo mwishoni mwa Oktoba 2014 kwa maelezo kuwa mtandao unafanyiwa ukarabati. Miongoni mwa vijana ambao ajira zao zilisitishwa ni pamoja na Ben Saanane, Yeriko Nyerere, Michael Aweda na wengineo.

Intelijensia ya Lizaboni baada ya kupata taarifa hiyo ilijiridhisha kwa kutembelea mtandao huo. Ilichokikuta ni aibu tupu. Pamoja na mtandao kupambwa kwa rangi mbalimbali za CHADEMA, hauna taarifa mpya hata moja licha ya matukio mengi kutokea ndani ya nchi yetu. Tukio la karibuni ni sakata la AKAUNTI ya ESCROW ambalo lilipamba vyombo vyote vya habari hapa nchini. Cha kushangaza ni kwamba, kwenye mtandao huo wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo – Chadema hakuna mada yoyote inayohusu sakata la ESCOW. Uchunguzi wa Intelijensia ya Lizaboni umegundua kuwa taarifa tatu za mwisho ambazo zimewekwa kwenye mtandao huo ni hizi zifuatazo;
SIRI ZA CCM KUHUJUMU KATIBA YA WANANCHI ZAFICHUKA ( Iliyowekwa tarehe 5/11/2014)
TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA( Imewekwa tarehe 9/10/2014) na
MKUTANO MKUU WA CHAMA KUMCHAGUA MWENYEKITI TAIFA LEO (imewekwa tarehe 14/9/2014)

Kutokana na hali hiyo, fedha hizo wanagawana Mwenyekiti, FREEMAN MBOWE ambaye anapata mgawo wa shilingi milioni 8, Katibu Mkuu, Dr Slaa anapata shilingi milioni 7, Mkurugenzi wa Fedha wa chama, Anthony Komu anachukua shilingi milioni 5 na kiasi kinachobaki kinatumika kuendeshea blog ya chama ambayo ni chademablog.blogspot.com ambayo pia gharama za uendeshaji ni ndogo.

Hakika hii inatisha. Ni ajabu kubwa kwa watu wanaojifanya kuwa wanapinga ufisadi kumbe wao ni mafisadi wakubwa.

Bado tuna safari ndefu katika kupambana na ufisadi.

Nawasilisha
 
.... Ndugu Wazalendo Wenzangu, Naomba Kujuzwa Mawili Matatu Juu Ya Uzinduzi Wa Chama Chetu Jumapili Iliyopita. Kama Chama Chetu Kinavyoitwa Chama Cha Uwazi, Hivi Gharama Za Kukodi Ukumbi Ilikua Shng Ngapi? Zile Takeaway Na Maji Viligarimu Kiasi Gani? Na Matangazo Ya Itv Yaligharimu Kiasi Gani? Na Gharama Zote Hizo Zimelipwa Na Nani Wakati Chama Chetu Hakina Ruzuku Na Sijawahi Ona Tukichangishana? Naomba Kujua Na Wafadhili Pia. Act Chama Cha Wazalendo, Tanzania Kwanza.
Hapa una uhakika?
 
Pia tunaomba kujuzwa yafuatayo:
1.yale magari mabovu ya mbowe aliyokiuzia chama yaligharimu kiasi gan?
2.kwanini chadema inaogopa kukaguliwa na CAG?
3.zile pesa za chama alizojikopesha dr slaa amezirudisha?

Kama si matusi ngoja nisubiri majibu
 
.... Ndugu Wazalendo Wenzangu, Naomba Kujuzwa Mawili Matatu Juu Ya Uzinduzi Wa Chama Chetu Jumapili Iliyopita. Kama Chama Chetu Kinavyoitwa Chama Cha Uwazi, Hivi Gharama Za Kukodi Ukumbi Ilikua Shng Ngapi? Zile Takeaway Na Maji Viligarimu Kiasi Gani? Na Matangazo Ya Itv Yaligharimu Kiasi Gani? Na Gharama Zote Hizo Zimelipwa Na Nani Wakati Chama Chetu Hakina Ruzuku Na Sijawahi Ona Tukichangishana? Naomba Kujua Na Wafadhili Pia. Act Chama Cha Wazalendo, Tanzania Kwanza.
ww unataka zitto aanguke kama gwajiii
 
Ndugu Wazalendo Wenzangu, Naomba Kujuzwa Mawili Matatu Juu Ya Uzinduzi Wa Chama Chetu Jumapili Iliyopita. Kama Chama Chetu Kinavyoitwa Chama Cha Uwazi, Hivi Gharama Za Kukodi Ukumbi Ilikua Shng Ngapi?

Zile Takeaway Na Maji Viligarimu Kiasi Gani? Na Matangazo Ya Itv Yaligharimu Kiasi Gani? Na Gharama Zote Hizo Zimelipwa Na Nani Wakati Chama Chetu Hakina Ruzuku Na Sijawahi Ona Tukichangishana? Naomba Kujua Na Wafadhili Pia. Act Chama Cha Wazalendo, Tanzania Kwanza.

Hujui kuwa kiongozi wetu mkuu wa chama ni mfanyibiashara kama Mbowe??? Gharama zote alizotukopesha, anajua ni jinsi gani atakavyozirejesha...!
 
Mkuu MAHORO wakikujibu hayo maswali, nahama nchi. Pili, usiporidhika na majibu yao unaweza pata ufafanuzi wa hayo maswali toka kwa Juliana Shonza anajua source of fund ya ACT-Wazalendo.
Juliana Shonza njoo huku umjibu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom