Hii ni kwa wanawake wanaokaa dar tuu

Hii ni kwa wanawake wanaokaa dar tuu

mangi waukweli

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
246
Reaction score
27
Mambo yeno mm ni mhitimu wa chuo kikuu nina degree ila nipo hapa mjini kwa lengo moja tu yani kutafuta kibarua so nimefikia kwa rafikiyangu mmoja maeneo ya sinza ndiyo nakaa nae ni mwezi sasa naishi nae illa tumeanza kutoautiana maana hakuna privacy jamaa akija na demu wake inabidi nilale sebuleni sasa maisha haya yamenishinda na nimekuja na gari langu limekua ndiyo kama la kwake na kutafutia mademu maana wakati mwengine nina wese la kuweka kwenye gari inabidi niwe mpole sasa nimeamua nibadilishe mbinu ya kuishi town natafuta mdada ambaye yupo alone anaishi pekeyake ili nikae nae kwa muda huu wa kusaka kibarua nitakua nampeleka kazini na kwenye mizunguko yake na gari langu litakua kama lake na fadhila yake kwangu mimi ni kuishi nae tu naomba madada wanao kaa mjini ambaye yupo tayari pls ani pm namba yake ya simu tuwasiliane am good looking ila kwasababu sina kazi kau handsome kamefifia kidogo

UPDATES
michango ilikua mizuri wengi wametoa ushauri wa kujenga ila kwa reserch hii niliyoifanya nimegundua kwamba wanaume wengi wanaogopa kuchapiwa mademu zao na wana hofu sana na vijana wasiokua na ajira kujishikiza kwa madada wanaowagaramia
PIA KATIKA DODOSO LANGU HILI NIMEGUNDUA KUWA KUMBE KUNA WATANZANIA WENGI WANA MAWAZO YA KUJENGA ILA HAWAYATUMII IPASAVYO BADALA YAKE WANALETA USHABIKI. asanteni kwa kushiriki
 
Wewe,kwa nini wadada tu????unamaanisha huyo atayekukaribisha kuishi kwake akukaribisha na kila kitu chake???personally nilianza kukuelewa ila ulipoanza kueleza habari za uhandsome naona sitaweza.
Kaa tu na handsome wako lol!
 
hahaha...eti uhandsome umefifia kidogo...sawa bana
 
Wewe,kwa nini wadada tu????unamaanisha huyo atayekukaribisha kuishi kwake akukaribisha na kila kitu chake???personally nilianza kukuelewa ila ulipoanza kueleza habari za uhandsome naona sitaweza.
Kaa tu na handsome wako lol!

sasa huyu sii alishajua gari ndio kisu cha kuwachinjia wanawake ndio maana anataka wanawake tuu
 
pole yake,hata wadada twawezanunua hilo gari.asijidanganye na hilo gari lake kla mwaka 90.
 
Mambo yeno mm ni mhitimu wa chuo kikuu nina degree ila nipo hapa mjini kwa lengo moja tu yani kutafuta kibarua so nimefikia kwa rafikiyangu mmoja maeneo ya sinza ndiyo nakaa nae ni mwezi sasa naishi nae illa tumeanza kutoautiana maana hakuna privacy jamaa akija na demu wake inabidi nilale sebuleni sasa maisha haya yamenishinda na nimekuja na gari langu limekua ndiyo kama la kwake na kutafutia mademu maana wakati mwengine nina wese la kuweka kwenye gari inabidi niwe mpole sasa nimeamua nibadilishe mbinu ya kuishi town natafuta mdada ambaye yupo alone anaishi pekeyake ili nikae nae kwa muda huu wa kusaka kibarua nitakua nampeleka kazini na kwenye mizunguko yake na gari langu litakua kama lake na fadhila yake kwangu mimi ni kuishi nae tu naomba madada wanao kaa mjini ambaye yupo tayari pls ani pm namba yake ya simu tuwasiliane am good looking ila kwasababu sina kazi kau handsome kamefifia kidogo
unaluka majivu unakanyaga moto.
 
Wewe,kwa nini wadada tu????unamaanisha huyo atayekukaribisha kuishi kwake akukaribisha na kila kitu chake???personally nilianza kukuelewa ila ulipoanza kueleza habari za uhandsome naona sitaweza.
Kaa tu na handsome wako lol!

wadada wana huruma ilo swala la good looking wanawake wengi wanapenda ata kama si kimahusiano ndivyo walivyo wanawake wa mjini hawapendi bad looking guys wala usiogope mama jack
 
sasa huyu sii alishajua gari ndio kisu cha kuwachinjia wanawake ndio maana anataka wanawake tuu

gaari linahitaji matunzo tatizo huyu ninaekaa nae kama umeelewa stori anaitumia vibaya kiasi ambacho mm ni kulala sebuleni akiwa anakuja na mademu
 
pole yake,hata wadada twawezanunua hilo gari.asijidanganye na hilo gari lake kla mwaka 90.

Chezea ma-marioo wa mjini wewe? Utaumia mwenyewe! Chezea baroteli wa mjini wewe itakucost mwenyeweee!!
 
wadada wana huruma ilo swala la good looking wanawake wengi wanapenda ata kama si kimahusiano ndivyo walivyo wanawake wa mjini hawapendi bad looking guys wala usiogope mama jack
seki6,huo u gud luking wako utanisaidia nini mie.wanasema mwanaume hasifiwi kwa uzuri wa sura yake ila kwa kutimiza majukumu yake,wanaume wazuri wanaolewa pia siku hizi,hivyo atafute wababa wamsaudie kwa vilw amwsema ni handsome nadhani atasaidiwa tu.
Mtazamo wangu lakini.
 
Mambo yeno mm ni mhitimu wa chuo kikuu nina degree ila nipo hapa mjini kwa lengo moja tu yani kutafuta kibarua so nimefikia kwa rafikiyangu mmoja maeneo ya sinza ndiyo nakaa nae ni mwezi sasa naishi nae illa tumeanza kutoautiana maana hakuna privacy jamaa akija na demu wake inabidi nilale sebuleni sasa maisha haya yamenishinda na nimekuja na gari langu limekua ndiyo kama la kwake na kutafutia mademu maana wakati mwengine nina wese la kuweka kwenye gari inabidi niwe mpole sasa nimeamua nibadilishe mbinu ya kuishi town natafuta mdada ambaye yupo alone anaishi pekeyake ili nikae nae kwa muda huu wa kusaka kibarua nitakua nampeleka kazini na kwenye mizunguko yake na gari langu litakua kama lake na fadhila yake kwangu mimi ni kuishi nae tu naomba madada wanao kaa mjini ambaye yupo tayari pls ani pm namba yake ya simu tuwasiliane am good looking ila kwasababu sina kazi kau handsome kamefifia kidogo

Ficha upumbavu wako kama una uwezo wa kumpeleka kazini huyu msichana unayetaka akusaidie kwanin ilo gari lako usilitumie kama tax?,mtafute dereva wa tax mkabizi gari uwe unapata 15k kwa siku,au kama maisha magumu uza gari nenda hata kawe kuna nyumba za bei rahisi za kupanga,acha kubweteka!! Mwanamme asifiwe uhandsome bali kazi na kwenda bank kudeposit au kuchukua midolari!
 
kwanini usiuze hilo gari na likawa ndiyo capital ya kuanzia biashara unayodhani upo na uzoefu nayo kutokana na degree yako uliyosomea kuliko kutafuta mtu mwingine ukaishi kwakwe next time akikutenda utakuwa unatafuta mwingine au utakuwa unafanyaje sasa?, labda km hilo gari ndiyo kigezo cha kupata huyo mwanamke na si kazi km usemavyo kwakuwa km unagari sasa hela ya mafuta,matengenezo, maengesho pia unapata wapi wakati unadai huna kazi???.
kuwa mbunifu na degree yako km kweli unayo labda km ni ya mtaani na si darasani.
 
Back
Top Bottom