Hii ni kwa wanaume Wote

Hii ni kwa wanaume Wote

Mi nafikiri ugefanya uchunguzi kwanza kwa akina dada ndo wangeweza kusema kwamba wanaumia au vipi, kazi ya mwanaume ni kumuridhisha mpenzi wake kwanza ndo yeye afuate. kama mwanamke anafika kileleni zaidi ya mara mbili katika tendo moja kwa nin i usiendelee na hiyo staili ya kumuchana msamba. Na ninavyojua mapenzi niya wazi kwa watu wote kwa maana kwamba kila mtu yuko huru kumwambia mwenzi wake kwamba hii styl ni ngumu kwake au anaumia. Hili tuwaachie wadada waseme<br><br>
 
labda awe mke ila mchepuko ilo swala haliepukiki... kukunjwa ndo habare ya town, ata ukipigwa mzinga hela imeenda kihalali

Mkuu, naona itakula kwako muda c mrefu !!!! Style na mikunjo yote unatakiwa kumalizia kwa "my wife wako". Kama humfanyii hayo, siku akifanyiwa na mchepuko wake itaanza kula kwako, inatakiwa akienda nje aone ndani ni zaidi. Kwa hiyo kuanzia leo kaza buti kwa Mazahaus na kwa mchepuko legeza.
 
Duh! Ndo mana wake zenu tunachepuka! Yaani dose ya ukweli unaipeleka nje halafu mimi unaniletea shombo? Eti mke my foot!
Kwa taarifa yako kukunjwa na kubenuliwabenuliwa ndiyo raha ya sex!

Bora umesema kweli.
 
mapenzi ni kama sanaa lazima mikunjo iwepo si wao huwa wanaleta zarau ucpowabinua vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom