Hii ni kwa wanaume Wote

Hii ni kwa wanaume Wote

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Wewe mwanaume unayejidanganyana hayo ma Movie ya X unayoangalia huko kisha unakuja kufanyia mazoezi kwa mtoto wa watu acha huo ujinga.

MARA umnyanyue mguu juu, mara umchanishe msamba huko, unambinua kama mcheza kungfu.

SIKIA wale wasichana ulioona kwenye hizo filamu wapo kazini aisee na wamefanya mazoezi kabla ndo maana unawaona wanajitanua bila wasiwasi.

Wewe unaenda kwa msichana ambaye hana hata mazoezi unamtanua halafu unajifanya wewe unajua mapenzi.

Ujinga mkubwa haiwezekani umfanye msichana kama mdoli aisee.

Anaweza asikwambie kuwa anaumia lakini amini kuwa hapati raha yoyote unamtesa tu bure.

Nanyie wasichana mambo ya kujiliza liza hovyo kama yale masichana ya kwenye filamu za X muache, yaani ukiguswa kidogo tu'oooosh!!"hisia gani hizo unaguswa nywele unasisimuka, unaguswa kucha unapiga makelele.
 
Dah! Nmecheka sana aisee!
Hasa mwishon pale et shenzykabisa
 
Copy n paste by the way hata wanawake nao pia hutizma movie hizo
 
labda awe mke ila mchepuko ilo swala haliepukiki... kukunjwa ndo habare ya town, ata ukipigwa mzinga hela imeenda kihalali

Ha ha haaa! Value for money! Unamkunja ili hela yako itoke kihalali! Uko sawaa...uko sahihi kabisaa, ila sasa unamkunja huku ubongo unafikiria hela yako tuu uliyotoa! Hakuna feelings tena!

Ni u-selfish wetu sasa wanaume una apply! Unakunjaa unamuumiza una come unarudia tena na tena....unatafuta value for money isibaki hata chenji!!!

Hapo wadada wajitambue tu kwamba utu wao na thamani yao vinapimwa kwa fedha! Kwamba mwanaume akishamuona na kumpigia bajeti tu, na akimpata ni kumfanya atakavyo tu juu ametoa hela yake!

Rudisheni thamani na utu wenu kina dada! Msijijeuze mitaji! Mtatumiwa hovyo na majuto makubwa huwa kwenu at the end!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom