Hii ni kwa Wanaume tu.

mpoteee atakupotezea muda wako bure,kwanza na ww ni kiongoz wa mazuzu yan mabint wote hapa mjini unahangaika na majimama!!!!!!umenitia kichefuchefu pumbavuuuuuuu.......unahitaji bakora tena nying sana................
 
Umemuona mwanamke ukampenda mtu mzima ukaamua kumuapproach kwa gia ya urafiki,baada ya muda ukaamua kumwambia hisia zako za kweli then Anakureject(Anakutosa).Sasa naomba niwaulize kuna umuhimu wa kuendelea kuwa marafiki na huyo mtu?

hamna haja wa umuhimu. simply becoz mna interest au matarajio tofauti. yeye anajua ni uragiki wewe unataka kuwa wapenzi. utaishia kuuumia tuu ukiendelea kuwa karibu nae
ni bora ukubali yaishe usepe zako.
 
Back
Top Bottom