Mediaty
Member
- Aug 10, 2023
- 39
- 65
Habari zenu wanaume wa humu ndani. Natumaini hamjambo kabisa. Leo nakuja na Uzi huu maalumu kwa akili yenu. Kuna watu watanielewa, watanidharau, watanipinga na wengine wataguswa.
Twende kwenye mada. Ukiachana na kubeba shingo upara katikati ya miguu yetu ila kuna tabia hizi hapa ambazo lazima uwe nazo ndo uweze kusurvive kwenye nyakati hizi ambazo mwanaume amegeuka na kukosa thamani huku sheria na maisha kwa ujumla vikimbana.
Takwimu zisizo rasmi zinaonesha kuwa ni wanaume 5 - 10% ambao huweza kujitambua na kujua thamani mapema kabla ya miaka 27 -34. Lakini 10 -15 ndo huja kujitambua ukubwa huku asilimia 70-80 hubaki bila kujua mwanaume ni nani anapaswa kuishije.
Haya ndo mambo ambayo wanaume hishia kudanganywa na kujikuta wakiangamia na kulamu dunia:
Feki
Dunia inamdanganya mwanaume kumuaminisha vitu feki avione kama ni bora. Mfano; Dunia inamdanganya mwanaume na kufanya aishi kwenye uongo na ashindwe kujitambua Mfano;
*PORN ni ngono ya uongo.
*POMBE ni furaha ya kutengenezwa.
*CHAKULA TAKA (fast foods) ni lishe ya bandia.
*MADAWA YA KULEVYA ni furaha feki.
*UVUTAJI ni utulivu wa kubuniwa.
*MITANDAO YA KIJAMII ni mahusiano ya uongo.
Kwa Upande Wa Burudani
Wanaume wengi wanafuatilia movies. Ila Cha ajabu ni wanaume wachache wanajua kuwa movies si zote ni muhimu kwa mwanaume. Mfano; kama ni mpenzi wa drama na filam za uhalisia utagundua script nyingi zinmachora mwanaume kama dhaifu, katili, msaliti na failure kwenye familia huku mwanamke akionesha kuonewa, kujpambania.
Sitaji movies ila we mwenyewe shahidi. Ni movies ngapi umeona mwanaume anaonekana kama mwenye akili, maamuzi sahihi na mkamilifu kwenye familia. Filam hizi hutazamwa na watoto wa kiume na huja kuwaaribu kisaikolojia wakiamini mwanamke anaonewa sana na mwanaume ni hovyo.
Upande Wa mziki, nadhani mnaona jinsi miziki ya wasanii wetu wa Bongo wanavyoimba kuhusu wanawake. Nyimbo hizo zote mada ni zilezile. Yani kuabudu mwanamke, kuomba msamaha,kuhimiza kuonga na kulalamika kihisia.
Nyimbo hizo wanasikia vijana wa kiume. Mfano kuna siku nakuta dogo wa kiume amkeaa anasikiliza nyimbo aliimba jamaa anaombga ex wake arudi eti ameshindwa kuvumilia. Hii nyimbo inajenga picha Gani Kwa kijana wa kiume anaekuwa. kweli mwanaume ni kiumbe cha kulilia mapenzi?
Vitabu, hapa ushahidi mnao wote. Kama mtu anesoma zile riwaya ambazo serikali imeweka watoto wasome ili wajibie mtihani, basi je, hizo riwaya zinamchoraje mwanaume?
Sheria za Ndoa na Talaka
Hapa mwanaume anakandamizwa kote. Iwe kijamii, kiserikali na kidini. Mfano, kulipa maali, mgawano wa mali baada ya talaka, majukumu ya kifamilia.
Lengo halikuwa tu jinsi Gani mwanaume anakandamizwa bali ni je mwanaume wa Sasa afanye nini Ili asurvive kwenye Dunia hii ya Leo.
Wanaume waoaji mpo. Sikia niwape hii kwanza.
* WANAWAKE WA KISASA WANAKUA KATIKA MFUMO TOFAUTI
Wanahimizwa kujitegemea, kuwa na uhuru, na kufuata maisha wanayotaka. Uhalisia wa kuwa mke au kuishi maisha ya kifamilia hautiliwi mkazo kama zamani.
* NDOA ZINAPUNGUA, MIGOGORO INAONGEZEKA
Watu wengi wanathamini uhuru, mitandao ya kijamii, na kutafuta uthibitisho kuliko kujenga uhusiano wa muda mrefu. Ndiyo maana ndoa zinapungua.
* MAHUSIANO YANAGEUKA KUWA YA MASLAHI
Kwa baadhi, mapenzi yanapimwa kwa hali ya maisha. Watu wanataka mwenza atakayewapa ustawi, siyo tu mapenzi.
* KUTAFUTA MWENZA ALIYE “JUU ZAIDI”
Watu wanataka mtu bora zaidi — mwenye kipato kizuri, ushawishi, au maisha ya kuvutia. Hii mara nyingi husababisha mahusiano kutodumu.
* WATU WENGI HUTENGENEZA “BACKUP”
Kabla uhusiano haujaisha, wengine tayari wana mtu mwingine wanayemuwazia. Hii hutokea pande zote mbili — wanaume na wanawake.
* MITANDAO YA KIJAMII IMEUA UVUMILIVU
Kila siku mwanamke anapata pongezi, likes, na DM kwenye Facebook, Instagram na TikTok Kwa hiyo, kutatua changamoto kwenye uhusiano kunakuwa ngumu — wanaona kama wana chaguo nyingi.
* “SOFT LIFE” IMEKUJA KUCHUKUA NAFASI YA MAJUKUMU YA KAWAIDA
Leo wanawake wengi wanataka maisha mazuri, starehe, na uhuru. Majukumu ya kifamilia kama kulea, kupika, au kusaidiana kwenye ndoa yanaonekana kama mzigo.
* UHURU UNAPENDEKEZWA, UONGOZI WA KIFAMILIA UNACHUKULIWA TOFAUTI
Wanaume na wanawake wanashindana badala ya kushirikiana. Nguvu za kiume na za kike zinachanganywa, hivyo amani kwenye nyumba inapungua. Walio oa mwanamke aliajiriwa watanielewa hapa
* NDOA IMEKUWA HATARI
Mara nyingi wanaume na wanawake wote wanaogopa kuingia kwenye ndoa kutokana na gharama za kisheria, migogoro, na hatari ya kuvunjika kwa familia.
MWANAUME KUMBUKA NA ZINGATIA HAYA
MWISHO KABISA
* Usifanye ngono bila kinga na mtu usiyemwamini
Afya yako haina mbadala. Kinga sio kwa mimba tu, inalinda dhidi ya maambukizi na matatizo ya baadaye.
* Kumwamini mtu kabisa
Kuwa mkarimu, lakini uwe makini. Uaminifu unajengwa, haupewi bure.
* Usile chakula ambacho mwili wako unakikataa
Mwili wako ukisema “hapana,” sikiliza. Ukikaidi unaweza kuugua au kuwa dhaifu.
* Kumuomba ex arudi kwako
Heshima yako ni ya thamani. Aliyeondoka, mwache aende. Kulazimisha mapenzi kunatesa nafsi.
* Acha kumtembelea mtu ghafla (isipokuwa dharura)
Heshimu muda na nafasi ya watu. Kumtembelea mtu bila taarifa kunaleta migogoro.
* Usimsaliti mtu mkweli na mwaminifu
Uaminifu ni adimu. Ukivunja, mara nyingi haurudi. Linda imani ya watu.
* Acha kulazimisha uhusiano na mtu asiyekuhitaji
Mapenzi hayalazimishwi. Usipoteze nguvu zako kwa mtu asiyeona thamani yako.
* Acha Kuoa au kuolewa na mtu asiye sahihi
Mwenza mbaya anaweza kuharibu maisha yako yote. Angalia tabia, maadili na uelewano.
* Acha kutumia pesa kiholela
Nidhamu ya fedha ni uhuru. Ukiwa mpotevu, maisha yatakuwa magumu.
* Kuendesha gari kwa mwendo kasi ili kufikia muda
Ni bora uchelewe kuliko kufa. Hakuna kitu kinachozidi thamani ya uhai wako.
Asante Kwa kusoma.
Ameandika Mediaty

- Usipoteze pesa zako, ziwekeze kwa akili.
- Usipoteze heshima yako kwa mtu yeyote.
- Usimshobokee mwanamke kamwe — ataona wewe ni dhaifu na huna mvuto.
- Jinunulie gari na ufurahie kuendesha.
- Jiweke msafi na uvae nguo safi.