Hii ni kwa undergraduates pekee wenye muelekeo wa kujiajiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni kwa undergraduates pekee wenye muelekeo wa kujiajiri

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CHASHA FARMING, Dec 30, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280

  HII INAWEZA KUWA NA MSAADA KWAO, KWA KIASI FULANI

  1.Najua kwa sasa mko Vyuoni na mnakimbiza kitabu ile mbayana kuna baadhi yenu mko kwenye maandalizi ya TEST, ASGMENT, MITIHANI NAKAZALIKA.

  2.MIda si mida mtamaliza na mtaingi mtaani kusaka kazi nakujiajiri

  3.KWA SASA TRIENDS YA AJIRA TANZANIA IMEBADILIKA SANA NAIMENZA KUBADILIKA KUANZIA MIAKA YA 2006 NA KUENDELEA NA KUNA SABABU NYINGI SANAZA HALI YA AJIRA KUBADILIKA

  a.Matumizi ya Komputer kufanya kazi ambazo zingefanywa naBinadamu

  b.Misukosuko ya uchumi Duniani Serikali inashindwa kuajiri

  c.Makampuni mengi kuajiri watu kidogo sana ili kupunguzacost za kunendesha kampuni

  d.Kuongezeka kwa graduate nchini

  e.Graduate wengi kuto kuwa na altenative zaidi ya kutafutakazi/kuajiriwa

  f.Kasi ya wafanya kazi wanao stafu ni ndogo kuliko ya wanaoingia sokoni kutafuta kazi

  h. Kufa kwaviwanda vingi sana na serikali kushindwa kuvutia wawekezaji wawekeze kwenyeviwanda

  WAKUU VIWANDA NDO SEKATA PEKEE DUNAINI INAYO TOA AJIRA NYINGI SANA, MAKEKIWANDA KIMOJA KIKUBWA KINAWEZA KUWA NA WAFANYAKAZI HADI 8000, HIZI KAMPUNIZINGINE NI HAZINA UWEZO WA KUCHUKUA WATU WENGI KAMA VIWANDA NA VIWANDA HATUNA


  4.KILIO KIKUBWA CHA GRADUATE KUJIAJIRI NI
  a.Mtaji

  b.Elimu ya Ujasirimali

  c.Mfumo mbovu wa Elimu yetu tangia ile ya awali mpaka yaChuo kikuu

  -WAKUU HIVI VIKWAZO TUNAONA HAVINA UFUMBUZI KWA SIKU ZAHIVI KARIBUNI,NA HATA VIKIPATA UFUMBUZI HAVITAWEZA KU ACCOMMODATE WATU WENGIKIASI HICHO, ITAWEZA KU ACCOMDATE WATU WACHACHE NA HAO WENGINE ITABIDI WATAFUTE NJIA ZINGINE, NI KAMA ILIVYO LOAN BOARD

  6.TUNAFANYAJE

  a.Kuanza mazoezi ya kujiajiri tangia ukiwa chuoni,

  b.Anza kuweka misingi ya kujiajiri ikiwa ni pamojakukusanya fund

  c.Tengenezeni network au Jiungeni watu kuanzia wan ne mnaosoma kozi zinao fanana au hata kozi tofauti zinazo tegemeana na muunganishenguvu

  d.Chuoni ndo mahali pazuri pa kuanzishia harakati zakujiajiri

  e.Kama mtakuwa na hata fundi kidogo anzen hapo na muendeleeili mkimaliza chuo hamtakuwa na presha ya mnaanzia wapi,

  f.ANZENI KWA KUTAFUTANA WATU WENYE MULEKEO WA KUJIAJIRI NAANZENI HARAKATI SASA WALA MSISUBIRI MPAKA MGARDUATE, SI RAZIMA MUWE WA CHUOKIMOJA.

  -Tafutaneni wa kozi zinzao tofautiana lakini zinazotegemeana kwenye wazo lenu la biashara

  -Msijiunge wa kozi zinazo fanana, itawaletea shidasana,labda tu wazo lenu litaruhusu hivyo

  -Mfano IT/COCMPUTER SCIENSE, MARKETING, ACCOUNT, HR,PUBLICADM, PROJECT PLANING, EDUCATION, ENGENIA, NA Kazalika yaani mnatafutana ambaomtaweza kusapotiana na kusonga mbele, KOZI ZIKO NYINGI ILA NI MEMENTION FEW
  -
  7.VIPI SWALA LA MTAJI?

  a.Hapa ni kusevu kwa kila hali, kuliko kuishi maisha yakushindana chuoni halafu uje usafe mtaani ni bora kujinyima kwa hali na mali.Mtaani ndo kuna maisha na si chuoni

  b.HII NJIA NYINGINE INAWEZA ISIWAPENDEZE BAADHI YETU ILA NINZURI SANA
  Mkuu bila shaka ukiwa hata sekondari ulikuwa unapatasapoti kutoka kwa watu mbalimbali, Ndugu, Jamaa na marafiki, walikuwawakikutumia fedha za kujikimu.
  HATA UKIWA CHUONI UKIWA NA MALENGO UNAWEZA KUSANYA MTAJIKWA NJIA HII, WASUMBE SANA NDUGU ZAKO, RAFIKI, JAMAA NA KAZALIKA NAWANAPOKUTUMIA PORKET MONEY TUNZA KIASI UKIWA NA MALENGO MKUU,

  -CHUONI KUNA WATU HUWA WANA PATA FEDHA SANA KUPITIA KWANDUGU ZAO LAKINI MWISHO WA SIKU HUISHIA KUZITUMIA VIBAYA ZOE.

  -SO MKUU HII NJIA INAWEZA TUMIKA KUTAFUTA MTAJI, MAKEUKIMALIZA CHUO NA UKAWAAMBIA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WAKUCHANGIE UANZISHEBIASHARA HAKUNA ATAKAYE CHANGA LABDA KAMA UNATAKA KUOA, SO UKIWA CHUONI NDOSEHEMU PEKEE PA KUTAFUTIA MTAJI MAKE BAADA YA HAPO HUTAWEZA KUWADANGANYA KAMWE

  -Mkuu hii ni mawazo yangu na ukiamua kuyatumia kwakutafuta pesa ya kufanyia matanuzi haina shida ila, MAISHA YATAKUWAYANAKUSUBIRI MTAANI

  -Wakuu hata ikiangalia trend nying za mikopo duniani na zawatu wanao anzisha biashara zao % kubwa huanza na walicho nacho then ndowanenda KWENYE MABENK, KWENYE SERIKALI ZAO NA SEHEMU MBALIMBALI KUTAFUTA MIKOPOAU GRANT.

  -WAKUU NI BENK I CHACHE SANA, HATA KWA WENZETU ZINAZO TOAMIKOPO YA FRESHI STATING YAANI WEWE UNAKUWA NA PROPOSAL TU,

  -WATOA MIKOPO WENGI WANATAKA WAONE KUNA JITIHADAZIMEFANYIKA, NA SI KUSEMA MIMI NINA WAZO TU ILA NIMEKOSA MTAJI,

  -KAMA UNA AIDIA YA KUJENGA SHULE WANATAKA WAONE HATA TRIPTATU ZA MAWE, MCHANGA NA KAZALIKA KWENYE SITE HAPO NDO WATAAMINI UNAJITIHADA

  -HII YA KUWA NA PROPSAL PEKEE KICHWANI AU MKONONI NAKUSUBILI MKOPO NI VIGUMU SANA

  -HATA WATU WA NAO AKA KUINGIA UBIA NA WEWE WANATAKA WAONEJITIHADA ZAKO, WANATAKA WOONE UMEANZA NA KUISHIA SEHEMU NA SI UWAAMBIE WEWE UNAPROPOSAL PEKEE, HAPO INAKUWA NGUMU WAKUU


  VIPI KUHUSUKUSHINDWA?
  1.YA KUSHINDWA KUPO SANA KATIKA BIASHARA LAKINI NI RAZIMAMJASIRIMALI AWE STRONG ENOUGH KUWEZA KUSHINDA

  2.HATA WA MVUMBUZI WA BALUBU ALIFELI MARA KAMA 99 KABLA YAKUWEZA KUFANIKIWA KUTENGENEZA BALUBU.

  3.HATA MAKAMPUNI MAKUBWA KAMA PEPSI KUNA KIPINDI ILIFIKAMAHALI WAKATAKA KUFUNGA KAZI ILA WALIPAMBANA WAKASIMAMA

  4.WAFANYA BIASHARA WENGI WANO FEL MARA YA KWAZA HALAFUWAKAANZ A TENA NDO HUWA WANAFANIKIWA ZAIDI KULIKO WALE AMBAO HAWAJAWAHIKUSHINDWA AU KUFILISIKA

  5.NAZANI INGEKUWA KILA MTU ANAE FELI ANAACHA LEO HII VITUVINGI SANA DUNIANI VISINGEKUWEPO, KUNA WAVUMBUZI HADI WALIJITOLEA KUFA ILI TUWAFANIKIWE KATIKA UVUMBUZI WAO, JARIBU KUSOMA HISTORIA ZA WAVUMBUZI UTAGUNDUAKWAMBA WALIVUMILIA MNO

  KWA NINI TUSHINDWE HATA KABLA YA KUJARIBU? JARIBUUSHINDWE NDO UONGEE.
  Wakuu naamini mkifanya hivyo mtafanikiwa sana na anzenileo hii msisubiri mpaka mgraduate, mkisha graduate itakuwa vigumu sana, wengiwatabadili mawazo na wengine watasafiri kwenda kwao so kuonana itakuwa vigumusana
  INATAKIWA TUWE NA C TATU PEKEE
  CAPACITY
  CONFIDENCE
  COMMITMENT
  Ukipungukiwa C moja kati ya hizo itakuwa vigumu sanakusonga mbele
  YOUR FEATURE IS ALWAYS TO DAY
   
 2. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  UNAWEZA KUWAPA USHAURI KUHUSU SEKTA YA UTALII ?? MAANA HII SEKTA INANICHUKIZA KUONA INAVAMIWA NA WAZUNGU ILHALI WATANZANIA TUKO HAPA HAPA
  LEO NIMEKASIRIKA SANA NIMEONA YA KUWA KAMPUNI YA TUI AG YA UTALII

  TUI AG - Wikipedia, the free encyclopedia

  INAINGIZA REVENUE YA
  €16.35 ​
  BILLION NA HII KAMPUNI IKO GERMAN JE SISI AFRICA TUNASHINDWA NINI?
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  MKUUKUHUSU SEKITA YA UTALII, UKISIKIA MADUDU YA HII SEKITA UNAWEZA LIA, NAJUILIZAGAKAMA KWELI TANZANIA KUNA VIONGOZI AU LA.

  - MKuu skita ya Utaliiimekamatwa na Wazungu kutoka
  MAREKANI
  ULAYA
  SOUTH AFRICA
  NA SASA KENYA
  NA WAHINDI

  ILA HALI NI MBAYA SANAKWA WATANZAIA, SI KWAMBA HAWANA KAMPUNI ZA UTALII WANAZO ILA KUNA UHUNI/HUJUMAINAYO FANYWA NA HAYA MAKAMPUNI YA WAZUNG,

  HAYA MAKAMPUNI YAWAZUNGU KULE KWAO WANAJITANGAZA NA KUWAAMBIA WAZUNGU WENZAO WA SITRUST/WASIAMINI KAMPUNI ZA WA AFRICA/ WA BONGO SO WAAMINI TU KAMPUNI ZA WEUPE WENZAONA WAMEFANIKIWA SANA KWA HII PROPAGANDA NA KWELI WAMEKAMATA NJIA.

  - JE MAKAMPUNI YAWABONGO YAJIENDESHA VIPI?

  - Mkuu kwa kampuni zawabongo bila kuwa na Mzungu wa kukushika mkono huchomoi, make waungu waishaloga huko kwao
  - Nyingi zinasubiriawale watalii choka mbaya ambao wana kuja kwa kuunga unga ndo huwa kampuni zawabongo zinaambulia

  SHERILA YA UTALIIINASEMAJE?

  - Sheria zinasemaRazima kampuni za wageni zinazo kuja kuwekeza hapa Tanzania katika secta yautalii ziwe ni Ubia kati ya Wageni na Wabongo

  WAZUNGU WANACHEZA DILLGANI HAPA?
  - Hapa ni kwambawakisha kuja hutafuta mbongo wa kufanya regstration kana kwamba Kampuni ni yakena mwisho wa siku huambulia kupewa share za 0.002%

  UHUNI WA MWISHO WANOFANYA HAWA WAZUNGU NI HUU HAPA.

  1. Booking zinafanyikiahuko kwao
  2. Payment zinafanyikiaonline
  3. Akaunti za benk zikohuko huko kwao, hawatumii benki za hapa Tanzania
  4. Hapa Tanzania wanaakaunt za matumizi tu, kuwalipa wafanya kazi mshahara
  5. C jajua TRAwanakagua vipi kodi hapa

  MKUU KWA WATANZANIAKWENYE HII BUSINESS NI NGUMU SANA, NA SERIKALI IKO KIMYA BILA KUINGILIA KATIHIZI HUJUMA.

  CHA KUSHANGAZA KULIKOVYOTE HADI KUTENGENEZA ZILE SHANGA ZA KIMASAI SASA HIVI KUNA WAZUNGUWANATENGENEZA NA WANA EXPORT

   
 4. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  hakika hii ni zaid ya lecture! umesomeka vema sana ndugu, maisha yanazidi kuwa magumu sana
   
 5. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,865
  Likes Received: 2,807
  Trophy Points: 280
  Ni thread nzuri, lakini mwandishi ameniacha hoi! Kama naye ni graduate basi kazi ipo kwa wasomi wetu! Au hii ni copy and paste? Mkuu rudi shule!
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  nafikiri imeeleweka,ila tatizo kwenye writing skilzi,
   
Loading...