Iko hivi ,since the mwanzo kabisa wa ulimwengu, a woman cant raise or a single parent cant raise a stable family.
God knows that ndio maana hata yesu alitaftiwa baba wa kambo maana kama kuzaliwa angezaliwa tu na mama yake na mambo yangeenda ila Mungu alijua he needed a father hata kama ni baba wa kambo ila uwepo wa mwanaume kwenye familia unajenga familia imara.
afadhali mkuu umuulize!mfano mzuri mie hapa,nilijaribu kumuweka karibu sana na mtoto lkn jitihada zangu zilishindikana nikabwaga manyanga na sasa namlea mtoto mwenyewe,maana hamjui kwa uzima wala ugonjwa,,,kesi kama hyo unafanyaje sasa!wakati mwingine si vizur kujumuisha wote!!!mkuu utakuwa umekurupuka..hivi mwanamke uwa anaamua tu kuwa nataka kulea mtt mwenyewe?
afadhali mkuu umuulize!mfano mzuri mie hapa,nilijaribu kumuweka karibu sana na mtoto lkn jitihada zangu zilishindikana nikabwaga manyanga na sasa namlea mtoto mwenyewe,maana hamjui kwa uzima wala ugonjwa,,,kesi kama hyo unafanyaje sasa!wakati mwingine si vizur kujumuisha wote!!!
Nakuelewa vizuri mkuu..kwenye hili swala mara nyingi ss wanaume ndo uwa tatizo..haiwezekani mwanaume akawa responsible tangu mimba inapoingia mpaka mtt anakuwa zen mwanamke aje akurupuke tu na kusema nataka kulea mtt mwenyewe..hicho kitu hakipo..unless huyo mwanamke awe chizi
harika!
Nakuelewa vizuri mkuu..kwenye hili swala mara nyingi ss wanaume ndo uwa tatizo..haiwezekani mwanaume akawa responsible tangu mimba inapoingia mpaka mtt anakuwa zen mwanamke aje akurupuke tu na kusema nataka kulea mtt mwenyewe..hicho kitu hakipo..unless huyo mwanamke awe chizi
Naamini mko poa wana jf
Wanawake wengi wamekuwa na dhana potofu kuwa wanauwezo wa kulea watoto/mtoto peke yao bila kumtegemea mzazi mwenzake
Na hii ni kwasababu tu eti amejaaliwa kupata kazi yenye kipato kizuri,au ni mfanya biashara hivyo pesa kwake sio tatizo au ni mjasiriamali,nafikiri hili jambo sio sahihi.Mtoto ana haki ya kulelewa na wazazi wote wawili hata kama hamuishi pamoja lakini jitahidi huyo bwana achangie kiasi hata kama unamzidi kipato na hii ni kwa faida ya mtoto na wewe pia
Unaweza mlea peke yako lakini wakati ukifika mtoto atakuomba umpeleke kwa baba yake uwe unapenda au hupendi lazima utafanya hivyo,kwa hiyo ni bora umshirikishe mzazi mwenzio mapema kuliko usubiri wakati umezeeka ndio umlaumu mtoto kuwa nimekulea peke yangu tena kwa shida,ila sasa unamuona baba yako ndio anafaa kwa sas kuliko mimi haifai.
Kumbuka kuwa ni baba yake hata kama ni mnywa gongo
Hujachelewa waweza anza sasa