Hii ni Kejeli au ndio ukweli wenyewe...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni Kejeli au ndio ukweli wenyewe...?

Discussion in 'International Forum' started by Kibunango, Feb 24, 2011.

 1. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  BBC News
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hivi sweeping ni halali? Au ni wizi tu wa kawaida?
   
 3. Dyslexia

  Dyslexia Senior Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  it can be both!
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Nakumbuka baada ya kwisha kwa vita vya TZ na Uganda, wanajeshi wa TZ walipokuwa wakirudi home magari yao yalisheheni mizigo mingi sana... toka huko Uganda!...(Sweeping?)
   
 5. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  vita vya panzi furaha ya kunguru
   
 6. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Sweeping ni halali ama ni wizi kama wizi wengine...?
   
 7. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  haya,kwa wale mnaotaka kuja ulaya kwa kujilipua(ukimbizi)njia hiyoooooooo, tafua nauli tu ya kwenda libya.
  onyo: make sure unajua kiarabu.
  principal 1: kama haujui kiarabu jifanye bubu.
  prncipal 2: kama haujui kuwasiliana ki bubu, jifanye umepata shock kwahiyo hauwezi kuongea wala hausikii.
  gud luck:wink2:
   
 8. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Inawezekana ikawa ni hiyo "sweeping", lakini tusiangalie upandae mmoja tu, wizi au ubaya wa Waafrika. Fikiria mtu aliyekaa pale miaka kibao, kwa lengo la kujinasua maisha, haiwezekani baada ya kutokea yanayotokea akaondoka na kila anachoweza kukibeba?
   
Loading...