Hii ni kawaida au??

Hii ni kawaida au??

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
921
Reaction score
2,243
Kuna girl nmeanza kudate nae ni almost miezi miwili hiv...!!ni nesi wa hosptal fulan wilaya flan....!!ila mpk sasa tupo kwenye hatua za kuonana tu kwa ajil ya ubze wake...ila tangu nmekuwa nae magonjwa hayaniachi...hata yeye pia anaumwa pia baada ya kuwa na mahusiano nami...!!kuna siku nlmkiss tu asubuh nliamka kichwa kinauma...jicho moja jekundu...!!mwili unauma woote...!!kikohozi na mafua juu.....!!hii ni kawaida au kuna sign naonyeshwa...??...hapo ujue n yeye anadai anaumwa pia
 
Nyege hizo,kulaneni
 
Jicho lipi?
 
Mtakuja ku date na viti vya majini...

Siku utayo iingiza nanihii utaamka macho yote yametolewa...

...!!kuna siku nlmkiss tu asubuh nliamka kichwa kinauma...jicho moja jekundu...!!mwili unauma woote...
 
Kuna girl nmeanza kudate nae ni almost miezi miwili hiv...!!ni nesi wa hosptal fulan wilaya flan....!!ila mpk sasa tupo kwenye hatua za kuonana tu kwa ajil ya ubze wake...ila tangu nmekuwa nae magonjwa hayaniachi...hata yeye pia anaumwa pia baada ya kuwa na mahusiano nami...!!kuna siku nlmkiss tu asubuh nliamka kichwa kinauma...jicho moja jekundu...!!mwili unauma woote...!!kikohozi na mafua juu.....!!hii ni kawaida au kuna sign naonyeshwa...??...hapo ujue n yeye anadai anaumwa pia
Hatua za kuonana or oana?? Em tuanze hapa.
 
Kama na kuna roho za mauti zinakufatilia na ukiwa nae muda mwingine unaona hela zinaenda sana alafu hamna cha maana ulicho garamia.. amini usiamini mizimu ya kwao haikutaki.. ana nyota chafu na pepo wabaya. mm ilisha wahi nitokea hiyo nikawa na kaza mwili, moyo na roho mwisho wasiku nilikuja jutia sana ila nashukuru alisha niacha sahivi nipo huru
 
Kuna girl nmeanza kudate nae ni almost miezi miwili hiv...!!ni nesi wa hosptal fulan wilaya flan....!!ila mpk sasa tupo kwenye hatua za kuonana tu kwa ajil ya ubze wake...ila tangu nmekuwa nae magonjwa hayaniachi...hata yeye pia anaumwa pia baada ya kuwa na mahusiano nami...!!kuna siku nlmkiss tu asubuh nliamka kichwa kinauma...jicho moja jekundu...!!mwili unauma woote...!!kikohozi na mafua juu.....!!hii ni kawaida au kuna sign naonyeshwa...??...hapo ujue n yeye anadai anaumwa pia
Kwa post hii kweli ww bado mtoto mdogo! Bado akili haijatulia ! Pili una imani potovuu, kuumwa kwako usimsingizie dada wa watu maana akijua fikra zako ndo kama hizi dakika chachee tuu ushapigwa kipapai alafu uje kusema mapenzi hamna wanawake hamna wakati ni ujinga wako tuu mwenywe
 
Back
Top Bottom