Ukosefu wa madini mwilini..
Uko Sawa na wajawazito...
Nenda hospitali ukapewe vidonge upone
Sperm protein madiniMadini gani??
Afadhali nimepata mchafu mwenzangu...
Mkuu kama jinsia yako ni KE tafadhali nipm tuanze taratibu
vipi harufu ya mavi, mtu akiwa anakunya pia unapenda mkuu?. utakua unaenda kukaa kwenye vyoo vya watu ili unuse harufu ya mavi yao.
Sperm protein madini
Pole mkuu ni tatizo
kwa machache haya uliyoandika naona kabisa tunaendana😂Kwamba [emoji3][emoji3]
hapa tunafanana mkuu ila kwenye uvundo dah sio kweli na napenda harusu ya gesiHarufu ya mchanga mvua ikinyeshaa lazima nichote niule
Harufu ya vumbi mtu akifagiaa
Ndio mimi Babe!Kishtobeee wa mliro
Kacheki ujauzito. HongeraJamani mimi napenda sana harufu ya uvundo wa nguo yaani unakuta nguo imewekwa kabatini ikavunda yaani ile harufu naipenda mpk natamani kula nguo
Harufu ya mchanga mvua ikinyeshaa lazima nichote niule
Harufu ya vumbi mtu akifagiaa
Harufu ya udongo
Yaani nipo hivyo siku zote hivi itakuwa ni tatizo au ni kawaida kwa wengineo [emoji3]