Brightman Jr JF-Expert Member Joined Mar 22, 2009 Posts 1,224 Reaction score 237 Jan 19, 2013 #1 Mnaonaje watumishi wote ambao hawakupita JKT nao waende huko walau mwezi mmoja tu.
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,361 Jan 19, 2013 #2 Mbona hii picha ililetwa zamani sana hapa jukwaani!!!! Ni kawaida kabisa kwa watu waliopitia jeshini.
Mbona hii picha ililetwa zamani sana hapa jukwaani!!!! Ni kawaida kabisa kwa watu waliopitia jeshini.
Brightman Jr JF-Expert Member Joined Mar 22, 2009 Posts 1,224 Reaction score 237 Jan 20, 2013 Thread starter #3 Mzee wa Rula said: Mbona hii picha ililetwa zamani sana hapa jukwaani!!!! Ni kawaida kabisa kwa watu waliopitia jeshini. Click to expand... Hoja yangu mkuu hujaijibu. Achana na suala picha kuwepo siku nyingi.
Mzee wa Rula said: Mbona hii picha ililetwa zamani sana hapa jukwaani!!!! Ni kawaida kabisa kwa watu waliopitia jeshini. Click to expand... Hoja yangu mkuu hujaijibu. Achana na suala picha kuwepo siku nyingi.
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jan 20, 2013 #4 Mmmh kuumizana tu, ndo maana kuna kazi za wanajeshi na kazi za Ofisini sio kulazimishana kiasi hivi. Mimi sikupita huko na wala sitaki.
Mmmh kuumizana tu, ndo maana kuna kazi za wanajeshi na kazi za Ofisini sio kulazimishana kiasi hivi. Mimi sikupita huko na wala sitaki.
Brightman Jr JF-Expert Member Joined Mar 22, 2009 Posts 1,224 Reaction score 237 Jan 20, 2013 Thread starter #5 MadameX said: Mmmh kuumizana tu, ndo maana kuna kazi za wanajeshi na kazi za Ofisini sio kulazimishana kiasi hivi. Mimi sikupita huko na wala sitaki. Click to expand... Wakisema ambao hawajapita JKT watafukuzwa kazi upo tayari?
MadameX said: Mmmh kuumizana tu, ndo maana kuna kazi za wanajeshi na kazi za Ofisini sio kulazimishana kiasi hivi. Mimi sikupita huko na wala sitaki. Click to expand... Wakisema ambao hawajapita JKT watafukuzwa kazi upo tayari?
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jan 20, 2013 #6 Negembo said: Wakisema ambao hawajapita JKT watafukuzwa kazi upo tayari? Click to expand... Kwa mujibu gani.....wanifukuze tu, nitapata.
Negembo said: Wakisema ambao hawajapita JKT watafukuzwa kazi upo tayari? Click to expand... Kwa mujibu gani.....wanifukuze tu, nitapata.