Hii ni juice gani?

Cjawapata Mkuu
Siku hizi unaweza kukuta mtoto mdogo ila mambo anayoyafanya inabidi umuweke kwenye kundi la watu wazima tu maana hakuna namna.

Ndiyo maana nasema siku hizi watoto wanakuzwa.
 
Muonekano wa picha na live ni aridhi na mbingu
 
Kajiuze kwanza, unadhani ,ukipata ukimwi uje nikupe ARV.
 
Kwa nje vinavutia ila ndani vimetota na vinaoza!

Nani aiokoe dunia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…