Hii ni high frequency hearing loss, au ni nini?

Dah, hii kitu inaweza ikawa kweli aisee. Halafu jinsi ulivyoeleza Happ ndio hivyo hivyo nilivyo! Pia Kuna pahala nilisoma wanasema wenye tatizo hili wanahitaji Aina fulani ya 'hearing aids' ambazo zenyewe zina 'amplify' sauti zenye frequency kubwa (sauti ndogo) bila kuongeza ukubwa wa sauti zile za kawaida. Hivyo kukusaidia kuelewa Yale matamshi.

Ila kwa hapa bongo sidhani Kama zitakuwepo na Kama zipo Basi hiyo Bei yake nadhani itakuwa ghali mno! Maana hizi nilizonunuaga pale mindu upanga kwa wahindi Ni za kawaida tu ila Bei yake Sasa!
 
Yap hearing aids zinatakiwa zifanyiwe programingbya ku modify ili uweze kudaka matamshi ya hzo herufi ambazo sio a,e,i,o,u ..
Ila kama umechelewa inakua ngumu sana kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…