mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,027
- 1,750
Pole sana ila hawajakuelewa tu,wakikuelewa lazima wakujibu sababu ndiyo mawasiliano yako.Inauma sana kaka sana sana kipengele cha simu kinakosesha mengi mana kuna watu meseji huwa hawajibu
Asante mkuu, nashukuru Sana kwa kujaliNilitaka kumwambia ila nmeona ntamvunja moyo. But huu ndio ukweli....Ndio mana nmemwambia Move on
Shukurani mkuuMungu akutie nguvu dogo kingine unapangilia maneno sana unajua kuandika hongera kwa hilo
Kwanza pole Sana kwa tatizo lako mkuu.Hivi hii ndio Tinnitus ,sikio kupiga kelele!? Mimi sikio moja linaunguruma tu muda wote, nikilala ndio napumzika nalo
Dah! Mkuu kwanza pole Sana, maana wewe mpaka 'vestibular system' yako pia imeathirika mpaka unakosa balance.Tupo wengi mkuu. Mi nilishafanyiwa usafishaji zaidi ya mara tatu ila ikabuma. Nikafanya hearing test ndio nikagundua nina excess hearing loss ambayo imesababishwa na kuathirika kwa nerves. Nishatumia dawa kama gentamycene ya drop na vidonge flani hivi walisema ni nerves ila ikabuma bado.
Ni tatizo baya sana ila inabidi tukubali tu. Mimi siongei na simu yaani situmiagi dakika kabisa, mawasiliano yangu ni kwa sms tu.
Siangalii movie bila subtitles, never, Nahisi kukosa body balance hivyo huwa inaniwia vigumu sana michezoni na nishaacha kucheza step kwenye kwaya maana unakuwa kichekesho,
In short, ilivyoeleza ndivyo nilivyo. Cha msingi ni kama alivyosema mdau hapo juu ni kujikubali na kuwa muwazi basi.
Hapana bro sikupata shida yoyote kati ya hizo ulizotaja utotoni mwangu, nilikuwa fresh kabisa Yani.Hapo kuna Tatizo la Ubongo wako kushindwa kuinterpret unachokisikia na sio tatizo la sikio.. !! May be nerves zinashida au kuna dawa ulitumia zikaathiri mfumo wa Ubongo unaohusiana na speech interpretation.
Je ulichelewa Kuongea ulipokuwa mdogo au ulipata shida kuongea???? Maana watoto huongea wanachokisikia so kama ulichelewa means ulikuwa na shida toka mwanzo.
Hapana mkuu, ila niliwahi tumia zile za kuimarisha mishipa ya fahamu kwa muda wa mwezi mzima zinaitwa "Neuroton" lakini wapi tatizo Bado lipo.Kuna dawa inaitwa Gink Giloba je ushawahi kuitumia?
Huwa inacontain suppliments muhimu sana ambazo husaidia kuimprove hali kama yako
Pole sana mkuu kwa tatizo lako ila hatutakiwi kukata tamaa Mungu Ni mwema atatusaidia na asante Sana kwa ushauri wakoPole sana mimi nina shida kama yako ila ni sababu ya nerve compression ilianza macho then masikio . Kwa macho natumia miwani nilianza tatizo nikiwa mdogo sana sema hawakujua then 2012 nikaanza hearing loss ndo nagunduliwa na tatizo la nerve 2018 which is too late . Daktari kaniambia nitumie hearing aids zile digital
Apart from that nina tinnitus kutokana na nerve compression yaani inanipa tabu ila najikaza nicopy nayo tatizo haliwezi kutibika
Ushauri: Nenda ENT muhimbili uone watakuambia nini
Dah! Poleni Sana mkuu.Pole sana kwa changamoto. Una tatizo kama la mdogo wangu ambaye nae alianza kugundua kua hayupo sawa akiwa 4m 6 kajitahidi kufanya mitihani katika mazingira magum kutokana na comb aliyokua anasoma PCB kumuangusha. Tukaamua kumtafutia chuo cha afya kasoma mwaka wa kwanza tu akafel na kukosa sifa za kuendelea na masomo. Tumejitahidi sana Ekenywa, Upanga kote tulikwenda bila mafanikio. Majibu ya mwisho niliyoyapata Muhimbili ni kwamba ana tatizo la nerves za usikivu zilishakufa tukashautiwa atumie hearing aid lakin wapi. Kwa sasa amekubali hali na anaendelea na maisha. Inauma sana ila haina namna.
Hii ni kweli Mzee tatizo ni Mishipa ambayo inapeleka taarifa kwenye Ubungo ndio yeye shida hiyo inaweza kutokana na chakula ambvyo ulikuwa unakula au umerithiKisema kweli mzee omba Mungu tu hilo tatizo halitibiki ni neva kwny ubongo zimekufa mie pia na shida hyo nishaenda huko Ekenywa, Upanga mtaa wa Mindu jwa wahindi wa bei mbaya bila mafanikio..
Hearing aid haziwez kukusaidia sababu sikio lipo vizuri ni mishipa kichwani imezingua ni kama vile mtu anapikua kipofu there is no way jikubali na hali yako na pia kuwa free usifiche ukifika sehemu ni mgeni sema kuwa husikii waangalie watakusaidieje ikitoke watu wame ku diss au kukucheka hujasikia take it easy mzee...
So jikubali Hospital kwa bongo haoa utapoteza pesa labda nje ya nchi
Hata Mimi nilikuwa nahisi hivyo hivyo na watu walipokuwa wananishauri nitumie 'hearing aids' nilikuwa napinga kwa hoja hii hii.Hii ni kweli Mzee tatizo ni Mishipa ambayo inapeleka taarifa kwenye Ubungo ndio yeye shida hiyo inaweza kutokana na chakula ambvyo ulikuwa unakula au umerithi
Nilisoma pahala kuwa masikio ni tofauti na macho kwny masikio ubongo inabidi utasfiri nini kinongelewa..Hata Mimi nilikuwa nahisi hivyo hivyo na watu walipokuwa wananishauri nitumie 'hearing aids' nilikuwa napinga kwa hoja hii hii. Nilikuwa nahisi kabisa tatizo litakuwa kwenye 'nerves'...