Nachojiuliza ni kwamba, huyu baba aliyetelekeza familia ana kosa kiasi gani?
hatuoni kwamba kupitia yeye huyu mwanamke na wanawe wameneemeka?
Watarudiana karibu sana, Huyo mwanaume anaakili zake timamu na Master-plan yake imefuzu !!Ukisikia kuna wanaume na Magumegume ndio hayo,huyo bwana ni mwanamme suruali..
Asara tupu .Watarudiana karibu sana, Huyo mwanaume anaakili zake timamu na Master-plan yake imefuzu !!
Wallet
Kwanza Sabah L kheri!!Asara tupu .
Nilitafakari sana ndio maana nikaja kuwauliza na nyie. Hivi ile familia leo ingekuwa wapi kama bado wangekuwa na baba yao?maandishi mekundu ni jibu la maandishi ya bluu...wajibu wa mzazi kwa familia ni kutunza na si kutelekeza
...je unadhani ni sahihi kutenda dhambi kwa kuwa neema ipo?