Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
Wanawake ni kitu kizuri sana kilichoumbwa, ila mapenzi ni biashara kuna wanajiuza bar na kwenye madanguro kuna ambao huwapati bila pesa, hawa ni pesa mbele ndio utaitwa honey. Wengine wanajiuza bila kujijua yani mwanamke anapenda wenye pesa tu anataka wenye pesa ndio amuoe akiishiwa visa vinaanza swali je, anatofauti gani na wanao jiuzaa bar?. Usipende pesa utakuwa mtumwa milele, wengine pesa zao za kishirikina utawekwa msukule na kutolewa kafara bure utafanyiwa udhalilishaji wa kijinsia, kuletewa wanawake ndani, kuingiliwa kinyume kisa tamaa za pesa.
Sio wanaume wote ni wema ndio maana utoaji wa mimba umezidi na watoto wa mitaani pamoja na wanawake kutelekizwa na watoto baada ya ujauzito. mauaji ya wanawake kuweni makiniii. Hii dunia kuna leo na kesho. Je kesho yako ikoje wewe unaetoa mimba uliopata kisa tamaa ya pesa ukikosa watoto unakimbilia kujuta na kulaumu, wakati ulikubali kushawishika bila bunduki sifa ya wanaume walio wengi ni kucheketua asepe kukuhonga ni jambo dogo ili lengo lake litimie.
Kuna binti alichukuliwa na mwanaume ndani ya siku moja wanachati tuu. kaombwa kukutana msela kaja na gari kamzungusha kaombwa wakalale kakubali tena bila kinga na cha ajabu yule mwanaume alipewa namba na rafiki yake ambae amelala na huyo binti kapiga kampa best namba hawa wote niwajinga, ila mjinga zaidi ni binti kwakuwa kapelekwa guest au msela angekuwa muuaji ingekuwajeee? Kuweni makini sana na hao wanaume.
Kama ni pesa una akili, mwili ulio kamilikaa.. unaweza kutafuta kipatooo ila usifanye wanaume ndio mtaji wako utadhalilisha mwili wakooo subira, akili na uvumilivu ni jambo la muhimu sanaaa fanya kazi kwa juhudiiii zote kuna wanawake wengi wana kipato utachagua wewe mwanaume unaemtakaaaa ukijiweza na hatokupelekeshaaa na atakuheshimu.
Heshima kwa mumeo itakuwaje? Umelala na wanaume kama 50. Ukiombwa uandike CV ya wanaume uliotoka naoo si utamaliza kitabu mwanaume kakupenda anakuliza umelala na wanaume wangapi? Unaanza kutetemeka, unadanganya hujui dunia ni duara akiamua atajua au kusikia kwa watu wanaume wanakejeli sana akilala na wewe atatangaza na kujisifu. Sasa mumeo anapita na wewe road wana mng'onga kwa kejeli ''msichana gani yule kitaa tumempakua karibia woteee ana mabwana chungu nzima msela anajiona kapata''.
Hata kama umebadilikaa ila CV yako haitobadilika hata kama akikusamehe na kufumbia macho na kuziba masikio itamuuma roho sana wanaume wote wanakujua mtaani wanakukebehi una haribu mahusiano bure, kisa nini shukuru hapo kwa bahati ujapata UKIMWI. Ila mumeo yeye thamani yake iko wapi? Umelala na wanaume wote hao wangapi watakuwa ndugu au rafiki zake umemchoresha hapo najua sio sabuni itakwisha hapana ila mumeo na watoto wako.
Alafu wanawake wanaolia sana wanaume ni wabaya, sujui ni walaghai waogopeni sana hao ni wanawake wasio jitambua. fanya uchunguzi wa wanawake hao ndio utaona sababu ya wanaume zao kuwa hivo, una mabwana watano unalalamika. Sishangai kwani binadamu niwanafiki ila usilaumu wakatii lenu moja.
Msitoe mimba hao watoto wanaitaji kuishi ni mauaji hayo wewe ulipenda pesa ukapata mimba ulienda kwa pesa na sio mapenzi na huyo mwanaume alikupa pesa apate analolitaka kosa la mtoto liko wapi? Mwanaume akikufuata na style ya pesa weka ulizooo?
Duuuh kuoa ni kazi sana ukipata msichana mwenye hizo tabia hapo juu tabia ni ngumu kubadilika na utakuwa umedumbukia kuzimu ukiwa duniani. Wanawake wengi ni waongo sana kuliko wanaume kwasababu ni rahisi kukuta mwanaume bikra kuliko mwanamke ni wanaume wachache wenye wapenzi zaidi ya mmoja, ila niwanawake wengi wana mpenzi zaidi ya mmoja huo ndio ukweli.
Mfano kuna binti mmoja alikuwa na bwanake hostel ila yule binti katoka na wengine watatu ambao ni marafiki zangu pia.. na yule bwana ni rafiki yangu pia hao jumla niwa 4 nao wajua wa chuooo tu, hao wa tatu kawakuta chuo na bwana ake alitoka nae advance na mwingine kakutana na mwanaume kwenye trenii sijui anazo zile ny*ge mshindo akapigwa wakati treni linatembeaaa mpaka Kigoma.
Tufikirie na kesho yetu sio leo tu, mwanaume ni wajanja sana.. kuna mabinti wa kuwachezea na kuna mabinti wa kuwaoa... akiona binti ajitambui anapenda starehe na pesa zake atamchezea na kumuacha na atatafuta binti wa pembeni wa kumuoaa wa kawaida ila mwenye akili anaejua wapi kuna plot ya kiwanja, biashara gani inalipa binti anaejua kujitafutia... ila wale wanaojua wapi kuna bar au club mpya au pombe mpya.. mtaishia club na bar... utalalamika kaoa mwanamke wa ajabuu kaniacha mimi na uzuri wanguu. kumbe umesahau uzuri bila akili ni sawa na chungwa lilioza ndani ila nje ni zuriii... utaishia kwenda kwenye harusi za wenzakooo tuu miaka inaishia geto au nyumbani..
Badilikeni maisha ni kesho