Mafunguo 88
Senior Member
- Dec 21, 2016
- 155
- 184
Hapa mkoani Tabora polisi wamefunga barabala kuu ya kutoka stend kuu kwenda Ipuli wana fimbo kubwa na virungu wanasimamisha waendesha bodaboda na wanapo kaidi tuu kusimama basi wanawapiga fimbo bila kujali eneo gani la mwili wanapiga hii inaweza hatarisha usalama wa waendesha boda boda na abilia wao hata hivyo inaweza sababisha ajali mazingira hayaruhusu kupiga picha ila na hatari saaana na wanaokamatwa wanapigwa faini mda huohuo na hakuna risiti wanaandikiwa notification sheet tuu.