mbaya zaidi watangazaji wa clouds wanajifanya wanajua kila kitu kuwa wasemalo wao ndo sahihi, upuuz mtupuClouds wanaharibu maadili ya watanzania kuanzi lugha chafu ubaguzi wa wasanii na kuegemea upande wa ccm
Nani kakwambia huo uongo, Zoezi la sensa ni mchana na usiku, wapo wakuhesabiwa mchana na pia wapo wa kuhesabiwa usiku.sensa mwisho saa 12 jioni
Hapa Mwanza Clouds. Wanaendesha tamasha la Fiesta ambalo huwa linaruhusu hata watoto wadogo kuhudhuria.Lakini pamoja na kuruhusiwa lifanyike hadi saa 12 jioni lakini sasa hivi ni saa tatu usiku tulio viwanja vya karibu tunasikia linaendelea.Hii inaweza kuleta madhara kwa vijana wadogo hasa baada ya kufunga usiku.

Nani kakwambia huo uongo, Zoezi la sensa ni mchana na usiku, wapo wakuhesabiwa mchana na pia wapo wa kuhesabiwa usiku.
Acha majungu ndugu
Unaushahidi wa hayo unayosema?
Au unajifanya hujui bilikanzi walikuwa wanaingia akina lulu na miaka 15 na wanakesha hadi asubuhi?
Acha majungu ndugu
Unaushahidi wa hayo unayosema?
Au unajifanya hujui bilikanzi walikuwa wanaingia akina lulu na miaka 15 na wanakesha hadi asubuhi?