Hii ni haki?

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Inawezekana kuoa/kuolewa kabla ya kufanya mapenzi?kuna madhara/faida gani?
 
sina uhakika wa madhara ila kiroho au kidini imekatazwa kabisa ni mwiko kutenda bila ndoa
 
kweli wewe ni dik unamaana unataka kujua inamadhara gani utaduu sana kwa muda mwingi kila ukimuona tu wewe unataka kuduu naye..
 
Back
Top Bottom