Hii ni haki...NPS kudai 300/- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni haki...NPS kudai 300/-

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PSYCHOLOGY, May 29, 2011.

 1. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu JF!
  Haya mambo yanahitaji wajuzi watusaidie...tunakabwa hadi kooni hatujui tunalalamika wapi?
  Jamaa yangu amepita mjini kati na gari yake...akaingia dukani kuulizia bidhaa...dada mrembo akaenda kumwekea receipt ya kudai 300/- mara jamaa yangu akatokea akamwamwambia ...ya nini hiyo? Hapa hakuna packing...pia malipo hayo ni kwa kazi ipi?
  Kidogo amzabe kibao....nikamnasihi jamaa yangu alipe tu!
  Nawakilisha.
   
 2. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tutahama nchi walahi....
   
Loading...