hii ni haki kweli?

kwa zamu zamu ilikuwa zamu yake na kama ni zamu yake pia ni haki yake.
 
mbona yeye dogo karidhia?
huoni anavyotabasam?
 
Pengine asingem'beba angeleta vurumai hasa kwa wapita njia.
 
Mbwa yeye anatabasamu tu mtoto analia
 
Kwa India inawezekana ka God hicho kilichobebwa! Kila mmoja anaekagod chake karibu naye.
 
Jamani wenzetu wana vituko mara ukute wamebeba mbwa kwenye mikoba.. hizi tamaduni nyingine kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…