1. Angalia vga cable kama imechomekwa vizuri pande zote kwenye monitor na kwenye cpu.
2. namba moja ikikataa jaribu kubadiki vga cable.
3. Hapo pia ikakataa jaribu kubadiki vga card ( au weka vga card kama unatumia on board vga)
4. Mwisho kabisa yote yakikataa jaribu monitor nyingine.
Option hizi utafanya baada ya kujiridhisha kuwa vga drivers zako zipo ok