Hii ni code number ya Nchi gani?

Hii ni code number ya Nchi gani?

Naomba mnisaidie kujua kuwa +177 ni phone code ya nchi gani?
 
du jamani wkend iliishaisha.yOYO KATOA UJUMBE KWENYE KERO YAKE
 
Unguja na Pemba

Lakini weye uko wapi hata hujui code ya Nchi yako😉
 
we nawe ili uonekane umepost kitu au uliishiwa cha kufanya haya Tanganyika
 
mzee kikutokacho ndicho kilichomo akilini mwako!!!

Hiyo ni Code ya Chalinze
 
Hizi pombe zisizopitia TBS zina matatizo yake.....!! teh teh teh..
 
Back
Top Bottom