maeneo ya taxi kituo cha daladala ziendazo masaki, hata mimi ckuelewa nilipoona hyo sign
Salaam
huyu jamaa mmiliki wa hii nyumba nimeshindwa kumuelewa, katumia sehemu ya bara bara, ni kama vile hapendi watu wapite eneo hili, wahusika natambua mnapita hapa na mmeona, hii sio sawa kuzuia bara bara, huyu ni raia wa kigeni anafanya mambo haya, kama picha haitakua clear nta jaribu tena
hahahaHivi umemuanika hapa JF na ninavyowajuwa wabongo mimi, utatuambia tu muda si mrefu. Iko siku jamaa atahamka atakuta mavi ukutani ama getini kwake, au kitu tu cha hajabu ambacho watu wenye akili timamu duniani hawafanyi ila Tanzania tu.
Msipende kusifia vitu vya kijinga .... kwenye kila barabara ni lazima kuwe na sidewalk ... namaanisha inner roads siyo highways.
Sasa hapo hakuna pedestrian walkway, kwa hiyo either kosa ni la city council au la mmiliki wa hiyo crib. Ila ni upuuzi wa hali ya juu kusifia maua mahali pasipostahili.
Safi sana mleta mada!! hizi ndiyo nyuzi za maana.
Yaani mtu akila ugali chooni chizi, ila akila pilau chooni siyo chizi.Nasikia jamaa kasoma hii Thread yako ya MAANA na ameshaondoa Bustani yake.
Unamshupalia huyu MGENI kwa kufanya la maana na mfano hata kama kimakosa, mbona ANNE MAKINDA ambaye ni Mbunge na SPIKA wa Bunge la Tanzania, yeye KAIFUNGA KABISA barabara nzima na hujaonekana kumkomalia?
Nchi hii kama wewe una pesa na au Madaraka basi waweza kujifanyia chochote bila kuulizwa. Walau huyu kavunja sheria kwa kufanya la maana kuliko wanaovunja sheria bila kufanya la maana na sanasana kuwapa watu vigari vya rangi fulani.
Yaani mtu akila ugali chooni chizi, ila akila pilau chooni siyo chizi.
We mtani wangu kinehe, utakuwa unawababaikia sana mashefa.