hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,919 Dec 22, 2016 #1 wanasema mapenzi yao yalianza darasa la 3 c lakini mpaka leo wanapendana.
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Dec 22, 2016 #2 Tumetoka mbali
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 1,340 Reaction score 1,378 Dec 22, 2016 #3 Usione hivyo ukafikiri ni rahisi.Hapo walipo kila mmoja kavumilia mengi na makubwa ya kujaza kitabu cha kurasa mia
Usione hivyo ukafikiri ni rahisi.Hapo walipo kila mmoja kavumilia mengi na makubwa ya kujaza kitabu cha kurasa mia
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Dec 22, 2016 #4 Babkubwa kuliko. Sio kina DI..MO..ND kila siku na mwengine,
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Dec 22, 2016 #5 Naisujaki Lekangai said: Usione hivyo ukafikiri ni rahisi.Hapo walipo kila mmoja kavumilia mengi na makubwa ya kujaza kitabu cha kurasa mia Click to expand... Ndio mkuu hapo unajifunza kitu
Naisujaki Lekangai said: Usione hivyo ukafikiri ni rahisi.Hapo walipo kila mmoja kavumilia mengi na makubwa ya kujaza kitabu cha kurasa mia Click to expand... Ndio mkuu hapo unajifunza kitu
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,574 Reaction score 12,318 Dec 22, 2016 #6 Halafu nyie watoto wa siku hamna adabu na babu zenu? Nani kawaambia kuweka picha zetu bila ridhaa yetu mnayemuona hapo ni mimi na bibi yenu tumetoka mbali sana
Halafu nyie watoto wa siku hamna adabu na babu zenu? Nani kawaambia kuweka picha zetu bila ridhaa yetu mnayemuona hapo ni mimi na bibi yenu tumetoka mbali sana
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,109 Dec 22, 2016 #7 duh lakini si kuteremka kitonga tu kuna kupanda kitonga pia .. now days ukiishiwa tu tumekimbia