kwisha JF-Expert Member Joined Sep 9, 2021 Posts 1,793 Reaction score 5,042 Oct 21, 2022 #1 Acha tupime akili za watu.
Afrocentric view JF-Expert Member Joined Jun 19, 2022 Posts 1,374 Reaction score 2,289 Oct 21, 2022 #2 Hiyo ni 6 inches
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,435 Oct 21, 2022 #3 Afrocentric view said: Hiyo ni 6 inches Click to expand... Au 6 feet underground Mobutu.
J Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,346 Reaction score 97,081 Oct 21, 2022 #4 INCH WaTanzania bado tuna safari ndefu sana kwenye suala la elimu
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,587 Reaction score 81,552 Oct 21, 2022 #5 kwisha said: Acha tupime akili za watu View attachment 2393872 Click to expand... Congo, Zaire. Ila sio INCH ni Nchi. Bora ungesema hata "inji" kama Mrema.
kwisha said: Acha tupime akili za watu View attachment 2393872 Click to expand... Congo, Zaire. Ila sio INCH ni Nchi. Bora ungesema hata "inji" kama Mrema.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,671 Reaction score 167,734 Oct 21, 2022 #7 Joanah said: INCH WaTanzania bado tuna safari ndefu sana kwenye suala la elimu Click to expand... Halafu yupo hapa kupima watu akili....hii "inch" uhuru umezidi 😁
Joanah said: INCH WaTanzania bado tuna safari ndefu sana kwenye suala la elimu Click to expand... Halafu yupo hapa kupima watu akili....hii "inch" uhuru umezidi 😁
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,677 Reaction score 131,883 Oct 21, 2022 #8 Evelyn Salt said: Halafu yupo hapa kupima watu akili....hii "inch" uhuru umezidi 😁 Click to expand... Yaani anatupima akili, huku yeye mwenyewe akiwa hana hizo akili! Sasa kama yeye mwenyewe ameshindwa kutofautisha kati ya NCHI na INCH, si shida hii!!!
Evelyn Salt said: Halafu yupo hapa kupima watu akili....hii "inch" uhuru umezidi 😁 Click to expand... Yaani anatupima akili, huku yeye mwenyewe akiwa hana hizo akili! Sasa kama yeye mwenyewe ameshindwa kutofautisha kati ya NCHI na INCH, si shida hii!!!