Hii ni balaa au baraka…?

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,261
Habari wanabodi,

Hapa kuna taarifa napewa na mtu wa karibu kabisa. Kwa mtazamo wangu naona jamaa bundi kalala kwake. Nadhani hakuna aliemkamilifu kwa namna moja ama nyingine, kila mtu ana mapungufu yake na mzigo wake. Wengine wao ni wezi, wambea wachonganishi n.k. Sasa hapa kuna mwana yeye mzigo wake ni sex, hatumii pombe sio mwongo yani yeye ni sex, anapenda michezo ya 6 kwa 6, 5 kwa 6 n.k Hii michezo imekuwa na wadau wengi si yeye tu. Sasa twende kwenye mada.

Jamaa aliwahi zaa na mke senior wake, ikapelekea utata mkubwa sana, hadi kushauriwa kukimbia ardhi ya TZ kidogo ili mambo yapoe, hiyo sio ishu kwa sasa , ishu baada ya kurudi alihapa kutokula mzigo hadi atulie kabisa. Kweli NEVER SAY NEVER jamaa akawa anatawanya wasichana wanne kwa nyakati tofauti tofauti bila wao kujijua, sasa kilichotokea mabinti watatu kati ya hao kwa sasa wote wameshika mimba. Kuna mwenye wiki mbili, wiki moja, wiki mbili.

Jamaa kadata hasa, kaja kaniomba ushauri jinsi ya kuhandle hiii hali. Nineona jamboo gumu sana kutafuta maneno murua ya kumweleza na akapata solution. Ambacho ana waza hata sasa ni kupangua mimba zote ( abort ). Ananiuliza how to aproach hiii kitu, kama una suluhu juu ya hili, au una namna nyingine ya kusolve leta mawazo yako.

NB:
Hii ni sensitive ishu sio story
 
Asubiri kulea watoto. Kwani alivyokuwa ana duu alikuomba ushauri? Na alifikir atavuna MA Hindi?
 
Jamaan anajua starehe yake sex kwann atumii kondom si atazaa kila mkoa uyo..kwa sasa maji yeshamwagika ndo anakuja mshirikiane kuua mana ukimshauri abortion zote mmeshiriki kuua.alee tu
 
haa haa nimecheka sana jinsi ya uwasilishaji wako wa hoja unavutia. Cha msingi hapo mwambie alikubali kusifiwa ni messi sasa asubiri kuitwa mchezaji bora kwa kuvipokea vikombe vyake vitatu. Onyo usishiriki kumpa ushauri awambie watoe epuka mkumbo wa dhambi ya kuua kwa njia rahisi.
 
Pull-out game so wack halafu anachomeka tu bila buti, noma sana. Akubali tu kuwa dingi sasa. Mpe asome story ya Jamaa ambaye mke wake alitaka ku-abort, ila dogo saivi anapasua tu class, labda itamsaidia.
 
Asubiri kulea watoto. Kwani alivyokuwa ana duu alikuomba ushauri? Na alifikir atavuna MA Hindi?

Si lazima aweke maisha yake kama kitabu kwenye kila jambo, ila pale atapo hitaji kushirika amefanya hivyo, kama kwenye hili

Jamaan anajua starehe yake sex kwann atumii kondom si atazaa kila mkoa uyo..kwa sasa maji yeshamwagika ndo anakuja mshirikiane kuua mana ukimshauri abortion zote mmeshiriki kuua.alee tu

kids 3……

Uwasilishaji una nini mkuu……?

Pull-out game so wack halafu anachomeka tu bila buti, noma sana. Akubali tu kuwa dingi sasa. Mpe asome story ya Jamaa ambaye mke wake alitaka ku-abort, ila dogo saivi anapasua tu class, labda itamsaidia.

shits happen ,dude
 
mwanaume rijali yule anayejua kutembeza bakora safi SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…