Hii ni bahati au nini jamani

Ivi uyo jamaa yupo[emoji23] sijui anaendelea vipi! Maana nilimwona mpuuzi tu anaenjoy watu akili na kupromote ushoga nikaamua kuleft ule uzi mazima[emoji16]
Wamemshtukia anataka pesa ili amalizie story yake ya ajabu😅
 
Hongera mkuu ,ila hii ni Fraud and you manage to get away with it, piga kazi ili usionekane ulitumia dirisha kuingia chumbani
 
Weka mambo negative pembeni. Nenda kafanye kazi, kua makini
 
Mzungu kufoji hapo inaniwia ngumu kuamini...

Kuwa mwaminifu na ujali sana muda.. utapata zaidi ya kazi
Nakuapia mimi imenitokea broh ,mi mwenyewe siamini nilifanya kazi kwake na alimaliza mkataba
 
Nakuona vile unacheza ndondo away kapige kazi aisee huyo mzungu atakuwa kakuelewa tu kimuonekano kajua wewe sio janjajanja.
 
Kilichokupeleka Ni Kaz za udereva au mambo ya Kaz zingine wewe piga kazi hu wa mzungu akiondoka anakuachia mazaga yote hvyo tengeneza urafiki na msome tabia zake Kama anapenda mademu bas uwe mwepesi kumtafutia machimbo ila Kama anapenda machoko Basi mcheki cocastic amalizane nae au VIKITIM

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…