Usije badilishwa jinsia na kaka yako mzungu kama VIKITIM na kaka yake mwarabuNiliendaga kuomba kazi sehemu ilikuwa ni kazi ya udereva,kumuendesha mzungu mmoja wa kampuni flani alikuwa ni engineer wao,nilikuwa sina hata sifa ya kupata ile kazi,ila yule mzungu alivyoniona alinipenda sana,akanitengenezea karatasi feki nipeleke ofisini kwake na kweli nilivyopeleka nikaingia kwenye interview na yeye akapendekeza mimi nichukuliwe kumuendesha ,sasa mnasemaje hapo
Niliendaga kuomba kazi sehemu ilikuwa ni kazi ya udereva,kumuendesha mzungu mmoja wa kampuni flani alikuwa ni engineer wao,nilikuwa sina hata sifa ya kupata ile kazi,ila yule mzungu alivyoniona alinipenda sana,akanitengenezea karatasi feki nipeleke ofisini kwake na kweli nilivyopeleka nikaingia kwenye interview na yeye akapendekeza mimi nichukuliwe kumuendesha ,sasa mnasemaje hapo
Watu wana psychological issues nyingi. Kila kitu wanakiwazia vibaya.Watu mna negativity mind's kinoma.[emoji75][emoji16]
hatuna la kusema zaidi ya hongera ,piga kazi tu kingine msaidiane katika kazi maana kuna mtu kapendwa na kaka mwarabu kapewa kazi zaidi ya kazi
Wazungu kufoji ni ngumu sana labda wachina au wahindi ndio wapenda shortcuts.
Wewe ni jinsia gani?