Haha... mimi nikajua labda mwizi hataki kuacha fingerprint kwenye kitasa
Kwa hiyo una download mlango wazi?Mimi huwa naacha mlango wazi kuepuka kugusa vimelea vya wengine
KabisaaaaKwa hiyo una download mlango wazi?
Ndo maana vyo public hata majumbani mwetu nashauri sehemu ya kunawia mikono iwe nje hata kama ndani ya choo kuna maji ila sie huwa tunachukulia poa na bado hapo mtu akitoka na karanga njiani anakulaTahadhari ya afya hiyo. Inasaidia!Vimelea vingi vya magonjwa tunavipata kupitia mikono yetu.
Mi nilishawahi kuwaza hii kitu,maana kila mtu akiingia kukojoa anashika dudu yake,kuna fungus,ukurutu,magonjwa ya zinaa n.k.akitoka anashika hapo na hiyo kumbuka ni public toilet,kuna kupona hapo...bora hata kwenye vyoo kuwe na tissue au ile milango ya kusukuma maana unaweza hata kuupiga teke ukafunguka.Tahadhari ya afya hiyo. Inasaidia!Vimelea vingi vya magonjwa tunavipata kupitia mikono yetu.