King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
Huna sababu ya kuweka antivirus kwenye android device yako simply because haitokusaidia chochote zaidi ya kukulia battery maana itakua inarun kwenye background muda wote na kufanya simu kwenda slow... afu kuna muda itadetect software yako ya kawaida kama virus which unakuta si kweli, sanasana itakusumbua kuconnect kwenye network to some apps etc....
Kama unadownload softwares kutoka Google Play store huna haja ya kuhofia malware maana hawana software zenye virus kwenye store, ila kama unapenda kudownload cracked softwares basi hapo ndo kuna probability flani ndogo sana ya kukutana na malware
Tumia Lookout ni nzuri mimu natumia nikidownload chochote inascan
Okey asante kwa ushauri
Hapo haiwezekani, virus vinaingia pale ambapo unainstall app yenye virusu.
Hapo haiwezekani, virus vinaingia pale ambapo una install app yenye virusi.
Pia uwezekano wa kupata hizo app ni mdogo mno ukidownload kutoka play store yenyewe, since kuna 'mabaunsa' wa google wanaoscan hzo apps.
Duh! kwa hiyo chief mkwawa unaniambiaje hapo nimekuelewa vzr lakini sijakupata kuhusu tatizo langu
Hakuna kitu kama hicho... naona unawachukulia poa sana GoogleUmechanganya na MAC app store nn! Playstore ndo ocean ya malware, spyware na taka zote kwene droid devices.