Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
Mm siku hizi nakula Ma movies za kwenye CD na flash mtajua wenyewe na Ma local Channels yenu.Kwa msaada wa TCRA sasa tunalipa pesa ile kama zamani ila sasa hatupati kabisa hizo local channels kama zamani!
Walau zamani ukilipia zinakuwepo,kifurushi kikiisha zote zinakata!
Ila ndugu zetu TCRA wameona watusaidie,sasa zimeondolewa na gharama tunalipa ile ile!
Huu ni mpango wa kutulazimisha kuangalia TBC?
Movies za kwenye CD!!! Hivi kumbe CD bado zinatumika kuhifadhia muvi eehh!Mm siku hizi nakula Ma movies za kwenye CD na flash mtajua wenyewe na Ma local Channels yenu.
Ila hapo kwenye bando za simu na pambana na hali yangu
Wengine wapenzi wa habariMm siku hizi nakula Ma movies za kwenye CD na flash mtajua wenyewe na Ma local Channels yenu.
Ila hapo kwenye bando za simu na pambana na hali yangu
Serikali ya kilaghaiKwa msaada wa TCRA sasa tunalipa pesa ile kama zamani ila sasa hatupati kabisa hizo local channels kama zamani!
Walau zamani ukilipia zinakuwepo,kifurushi kikiisha zote zinakata!
Ila ndugu zetu TCRA wameona watusaidie,sasa zimeondolewa na gharama tunalipa ile ile!
Huu ni mpango wa kutulazimisha kuangalia TBC?
Kwahiyo wote twende Startime, kisa? Local channels hazitanipeleka huko labda kama wataweka vishawishi vya ziadaStartime zipo tena ata kama ujalipia
Tukihamia huko,ligi kuu TPL tutaionea wapi?Kwahiyo wote twende Startime, kisa? Local channels hazitanipeleka huko labda kama wataweka vishawishi vya ziada
Au ulitaka niseme flash?Movies za kwenye CD!!! Hivi kumbe CD bado zinatumika kuhifadhia muvi eehh!
Habari si unapata humu JFWengine wapenzi wa habari
Naskia cku hizi startimes wameweka mpaka supersport 3Kwahiyo wote twende Startime, kisa? Local channels hazitanipeleka huko labda kama wataweka vishawishi vya ziada
JF hawaleti habari za kilimo vijijiniHabari si unapata humu JF
Akili ya kusikia changanya na yakoNaskia cku hizi startimes wameweka mpaka supersport 3
Kuwa mkweli na mfuatiliaji unafahamu hizo local channels ziliingia kwa mfano DSTV kinyemela...unajua kabla DSTV haikuwahi kuwa na local channels...we kama unataka kuangalia local channels TCRA wameshakuelekeza kupitia matangazo yao kwamba ununue king'amuzi stahiki...sasa sijui lengo lako hapa ni lipi...Kwa msaada wa TCRA sasa tunalipa pesa ile kama zamani ila sasa hatupati kabisa hizo local channels kama zamani!
Walau zamani ukilipia zinakuwepo,kifurushi kikiisha zote zinakata!
Ila ndugu zetu TCRA wameona watusaidie,sasa zimeondolewa na gharama tunalipa ile ile!
Huu ni mpango wa kutulazimisha kuangalia TBC?
Kusema hivyo ni sawa na kusem azam sport hd imewekwa kwenye kingamuzi cha startimesNaskia cku hizi startimes wameweka mpaka supersport 3
hahaaaNi akili ya matope kabisa ndiyo maana wanajisifu wao ni vichaa