social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,106
- 1,259
Huu mfumo unatumiwa na top management ya tanesco ningependa kuujua wakuu
Ndio maana income yote inaishia kwenye mishaharahao TANESCO wanamatatizo, lile jengo la kijani peke yake lina mameneja 70, bado kuna mameneja wa kanda 7, mameneja wa mikoa 30, kuna mameneja wa wilaya 150. shirika lina takribani karibu mameneja 260, wengi wao wana elimu ya Diploma , na wengine wapo tu bila kuwa na tija
Wana-manage nini wote hao?Ndio maana income yote inaishia kwenye mishahara