Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,472
- 25,397
Kuna vitu vingine ni vya aibu sana mtu mzima ukivifanya utaibika.
Leo nimeenda chooni huku chuoni kwetu basi bhaana kuna mtu kajisaidia haja kubwa yananuka ile kisela lakini hajaaflash wala nini na mbaya zaidi vyoo vyenyewe ndo vile vya kukaa.
Nimesikia kinyaa kisheenzi hapa nilipo mpaka tumbo linaniuma kwa harufu kali nilioipata
Jamani jitahidini usafi,ukinya safisha choo vizuri utaaibika ugenini maana mazoea hujenga tabia