Hii Ni Adhabu au zoezi??

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,928
Huyu sijui anafanya zoezi au ni adhabu...!!

 
Al-Shaabab huyo. Baada ya zoezi hilo, hakuna meli itakayokatiza katika upeo wa macho yake.
 
Hiyo ni adhabu kama siyo bangiiiii !!!!
 
Adhabu hiyo bora wasichane suruali kutafuta kipumulio
 
iyo ni adhabu mkuu, kama vile naona gwanda limechafuka tope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…