Hii Nguvu ya Kiume ya Rosa Ree Vipi?

Hii Nguvu ya Kiume ya Rosa Ree Vipi?

Udakuz

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
85
Reaction score
51


Nini Maoni yako kuhusu Ujumbe wa Video mpya ya Rosa Ree Nguvu za Kiume
 
Rosa ree anajua kiana ..ila namna yake ya uandishi hapa bongo atapata sana changamoto..sababu ya hiki kivuli cha unafiki wa maadili. But for sure ukimsikiliza kwenye ngoma zake mbili za nyuma. Kama "one way" na ile ya "asante baba"..mpaka hii ya "nguvu za kiume" uandishi wake ni ule ule wenye lugha kali. But haina maana mbaya zaidi ya ku entertain tu. All in all she is a hard worker.
 
Kabayaa lakini kanachana fresh.
 
anajuaaa real hip hop....anawakalisha amevyaa sidiria.good akomae kazi nzuri
 
Sijawahi muelewa na ulimi wake wenye vumbi ova barabara ya Chato
 
Hana jambo huyo, nimejua hana kitu kwenye wimbo wa dadahood alioimba pamoja na Chemical&Frida.....
 
Alikosa cha kuimba akaamua kuongelea nguvu za kiume!

Kwanza mbayaaa! Ukiwa naye tu huwezi kusimamisha!
 
1566362722950.png
 
Back
Top Bottom