Tony Gwanco JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 5,913 Reaction score 1,217 Sep 21, 2014 #1 Inafundisha nini jamii huu u supaster wa wapi huu Attachments 1411311379984.jpg 93.6 KB · Views: 4,817
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 Sep 21, 2014 #2 Sasa kuna mtu anategemea kujifunza kutoka kwa huyu? Huyo mtu atakuwa kakata tamaa!
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,418 Reaction score 88,744 Sep 21, 2014 #3 Biashara Matangazo.
T Tanye Senior Member Joined Apr 9, 2014 Posts 107 Reaction score 18 Sep 21, 2014 #4 Biashara hiyo si kitu kigine kwani machizi ndio huvaa hivyo tU.ila. Mtu mwenye kujitambua tena binti hawezi vaa hivyo tena mtaani.labda kama angelikuwa anaigiza tu.pole yake hata mvuto hana Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Biashara hiyo si kitu kigine kwani machizi ndio huvaa hivyo tU.ila. Mtu mwenye kujitambua tena binti hawezi vaa hivyo tena mtaani.labda kama angelikuwa anaigiza tu.pole yake hata mvuto hana Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,751 Sep 21, 2014 #5 Kwani mtu akivaa nguo yake we unategemea kujifunza nini?
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Sep 21, 2014 #6 haha inachekesha hiyo nguo
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Sep 21, 2014 #7 Duh.....siku hizi alishaacha kuimba kwaya?
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,711 Sep 21, 2014 #8 Anaanza kuchanganyikiwa huyu..si buree....!
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Sep 21, 2014 #9 miss neddy said: haha inachekesha hiyo nguo Click to expand... Mwenzangu!!! Kama wale wehu wanaokuwaga kwenye filamu especially za kiNigeria! Mweeh!!
miss neddy said: haha inachekesha hiyo nguo Click to expand... Mwenzangu!!! Kama wale wehu wanaokuwaga kwenye filamu especially za kiNigeria! Mweeh!!
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,003 Reaction score 72,292 Sep 21, 2014 #10 Kim nana said: Anaanza kuchanganyikiwa huyu..si buree....! Click to expand... Madangaa yanawachanganya binaadamu hivi warumi kazimia kwa umbea au yaan kanitorok mchana kweupeeeee Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kim nana said: Anaanza kuchanganyikiwa huyu..si buree....! Click to expand... Madangaa yanawachanganya binaadamu hivi warumi kazimia kwa umbea au yaan kanitorok mchana kweupeeeee
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,711 Sep 21, 2014 #11 Dinazarde said: Madangaa yanawachanganya binaadamu hivi warumi kazimia kwa umbea au yaan kanitorok mchana kweupeeeee Click to expand... Naona kavimbiwa kwa umbea...hata kulog in hawezi....manake alishiba sanaaa... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Dinazarde said: Madangaa yanawachanganya binaadamu hivi warumi kazimia kwa umbea au yaan kanitorok mchana kweupeeeee Click to expand... Naona kavimbiwa kwa umbea...hata kulog in hawezi....manake alishiba sanaaa...
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,003 Reaction score 72,292 Sep 21, 2014 #12 Kim nana said: Naona kavimbiwa kwa umbea...hata kulog in hawezi....manake alishiba sanaaa... Click to expand... Ni shida huyu binamu yangu kiama au kidemu kimemkamata leooo
Kim nana said: Naona kavimbiwa kwa umbea...hata kulog in hawezi....manake alishiba sanaaa... Click to expand... Ni shida huyu binamu yangu kiama au kidemu kimemkamata leooo
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 Sep 21, 2014 #13 Kim nana said: Anaanza kuchanganyikiwa huyu..si buree....! Click to expand... Huyu alishachanganyikiwa.
Kim nana said: Anaanza kuchanganyikiwa huyu..si buree....! Click to expand... Huyu alishachanganyikiwa.
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,711 Sep 21, 2014 #14 Dinazarde said: Ni shida huyu binamu yangu kiama au kidemu kimemkamata leooo Click to expand... Wikend hiii...hahahaaaa sipati picha....! Au kashahonga galaxy?!!!!!
Dinazarde said: Ni shida huyu binamu yangu kiama au kidemu kimemkamata leooo Click to expand... Wikend hiii...hahahaaaa sipati picha....! Au kashahonga galaxy?!!!!!
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,711 Sep 21, 2014 #15 Ruttashobolwa said: Huyu alishachanganyikiwa. Click to expand... Kweli kabisa, mtu na akili zake hawezi kuvaa hivi... Ndo maana wema alimchana kuwa anajifanya mlokole kumbe ndo wale wale...
Ruttashobolwa said: Huyu alishachanganyikiwa. Click to expand... Kweli kabisa, mtu na akili zake hawezi kuvaa hivi... Ndo maana wema alimchana kuwa anajifanya mlokole kumbe ndo wale wale...
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,003 Reaction score 72,292 Sep 21, 2014 #16 Kim nana said: Kweli kabisa, mtu na akili zake hawezi kuvaa hivi... Ndo maana wema alimchana kuwa anajifanya mlokole kumbe ndo wale wale... Click to expand... Huo ulokole jina tu, mi mtu anaevaa hovyo hovyo sijui hua namuonaje kiukweliiii,maana hata ukivaa kiheshima utatongozwa tuu
Kim nana said: Kweli kabisa, mtu na akili zake hawezi kuvaa hivi... Ndo maana wema alimchana kuwa anajifanya mlokole kumbe ndo wale wale... Click to expand... Huo ulokole jina tu, mi mtu anaevaa hovyo hovyo sijui hua namuonaje kiukweliiii,maana hata ukivaa kiheshima utatongozwa tuu
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,003 Reaction score 72,292 Sep 21, 2014 #17 Kim nana said: Wikend hiii...hahahaaaa sipati picha....! Au kashahonga galaxy?!!!!! Click to expand... Nitamkoaaa huyooo kama kahongaa,au kazama nae kama Lucy na simu ikakwenda na mayiiii
Kim nana said: Wikend hiii...hahahaaaa sipati picha....! Au kashahonga galaxy?!!!!! Click to expand... Nitamkoaaa huyooo kama kahongaa,au kazama nae kama Lucy na simu ikakwenda na mayiiii
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,711 Sep 21, 2014 #18 Dinazarde said: Nitamkoaaa huyooo kama kahongaa,au kazama nae kama Lucy na simu ikakwenda na mayiiii Click to expand... Hahaaaa...utanivunja mbavuuu.... Jamani ukute kazama kweliii...sijui alikuwa anakwenda wapi masikini...?!!!!!!
Dinazarde said: Nitamkoaaa huyooo kama kahongaa,au kazama nae kama Lucy na simu ikakwenda na mayiiii Click to expand... Hahaaaa...utanivunja mbavuuu.... Jamani ukute kazama kweliii...sijui alikuwa anakwenda wapi masikini...?!!!!!!
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,711 Sep 21, 2014 #19 Dinazarde said: Huo ulokole jina tu, mi mtu anaevaa hovyo hovyo sijui hua namuonaje kiukweliiii,maana hata ukivaa kiheshima utatongozwa tuu Click to expand... Labda kaona biashara yake akiifungia ndani inadodaaa...bora aitangazeee...biashara matangazooo eeeeh....!
Dinazarde said: Huo ulokole jina tu, mi mtu anaevaa hovyo hovyo sijui hua namuonaje kiukweliiii,maana hata ukivaa kiheshima utatongozwa tuu Click to expand... Labda kaona biashara yake akiifungia ndani inadodaaa...bora aitangazeee...biashara matangazooo eeeeh....!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Sep 21, 2014 #20 Mhhh. Hata shape hana