Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,775
Ndio tafiti za wataalamu hizo😆Amazon forest inachangia zaidi ya asilimia 20 ya oxygen yote duniani..Amazon South America hadi Bonyokwa!?Congo hadi mikochen?
Ridiculous!!!!! Eeeh!Congo hadi mikochen?
Amazon forest the lungs of earth.Ndio tafiti za wataalamu hizo😆Amazon forest inachangia zaidi ya asilimia 20 ya oxygen yote duniani..Amazon South America hadi Bonyokwa!?
Na msitu wa Kazimzumbwi unaleta mvua gani?Wataalam wa mambo ya anga na hali ya hewa wanadai mvua zinazoendelea kunyesha sasa hivi msimu huu wa masika zinatokana na misitu ya Congo na afrika ya kati kwa ujumla.
Nawapongeza wanaharakati wanaopigania kulinda misitu duniani hasa Amazon, Afrika ya kati na Asia na kuhamasisha upandaji wa miti.
Tupandeni miti na tutunze mazingira.
adriz de mbusii
Ila hawa watafiti nao michosho sana. Wakati stiglers inajengwa wakasema imekatwa miti milioni mbili hivyo mvua hazitanyesha na bwawa litajaa baada ya miaka 10. Mungu si asumani bwawa kabla halijaisha ilipiga mvua likajaa hadi wakafungulia maji yakaleta mafuriko makubwa sana.Amazon forest the lungs of earth.
Walikuwa na chuki binafsi na jiwe.😅Ila hawa watafiti nao michosho sana. Wakati stiglers inajengwa wakasema imekatwa miti milioni mbili hivyo mvua hazitanyesha na bwawa litajaa baada ya miaka 10. Mungu si asumani bwawa kabla halijaisha ilipiga mvua likajaa hadi wakafungulia maji yakaleta mafuriko makubwa sana.
Vita ya kiuchumi kweli ipoIla hawa watafiti nao michosho sana. Wakati stiglers inajengwa wakasema imekatwa miti milioni mbili hivyo mvua hazitanyesha na bwawa litajaa baada ya miaka 10. Mungu si asumani bwawa kabla halijaisha ilipiga mvua likajaa hadi wakafungulia maji yakaleta mafuriko makubwa sana.
Msitu wa Congo unafika Congo zote mbili na jamhuri ya Africa ya kati.Congo brazaville au congo kinshasa?😆
Ohh sawa sawaMsitu wa Congo unafika Congo zote mbili na jamhuri ya Africa ya kati.
Labda hizo mvua zinazonyesha usawa wa boxer.Nasikia hata sisi tusiopenda kunyoa mavuzi na nywele za vichwani tuanasaidia sana upatikanaji wa mvua duniani.
Hili ☝️ lina ukweli gani.
Busu la Kenge ubwaaz.