Hii ndoto inaashiria nini, au naumwa??

KIDUDU

JF-Expert Member
Sep 17, 2012
2,564
2,000
Habari wana jamvi. Natumaini nyote mu wazima, mwenzenu mambo si shwari

Mimi tangu utotoni nilikuwa naota napaa angani karibu kila siku. Wakat mwingine niliota nimepaa ili kuvuka mito mikubwa, mashimo au mabonde marefu na hata bahari nk.

Nilipotezea kwa kuwa niliona kawaida maana siku nyingine nilikuwa nikita nawavusha watu mmoja baada ya mwingine kupita sehemu zenye hatari, au kuwakimbia wanyama wakali na watu wabaya. Hali hii imeendelea kunitokea mpaka sasa ukubwani.

Kuna jamaa nilimuuliza maana yake akaniambia nina kipaji cha kuhubiri nikaona hajatoa facts za kutosha nikampuuza. NB: Nilikuwa na mpango wa kuwa padre zaman nikapitia seminari ila nikafukuzwa na nikaona wito sina nikaanza maisha mengine.

KIBOKO IMEKUA LEO. Usiku nimeota napaa angan kama ndege kwa umbali naotaka, cha ajabu nilikuwa na nguvu mpaka nang'oa miti mikubwa bila tatizo, kibaya zaidi nilikua na mwanamke mrembo aliyeonekana kuwa mpenz wangu. Nikawa sivuji damu ata nikiumia
HII NI NINI NDUGU ZANGU? MAANA NIMECHANGANYIKIWA SASA.
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,360
2,000
Naona mtu wa karibu na sheikh yahaya aliyebaki ni kikwete tu. Nakushauri mpigie simu muulize au mfuate magogoni.
 
Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,546
1,250
Tiba Sahihi.blogspot.com: HIZI NI DALILI ZA MTU MWENYE SHETANI

Habari wana jamvi. Natumaini nyote mu wazima, mwenzenu mambo si shwari

Mimi tangu utotoni nilikuwa naota napaa angani karibu kila siku. Wakat mwingine niliota nimepaa ili kuvuka mito mikubwa, mashimo au mabonde marefu na hata bahari nk.

Nilipotezea kwa kuwa niliona kawaida maana siku nyingine nilikuwa nikita nawavusha watu mmoja baada ya mwingine kupita sehemu zenye hatari, au kuwakimbia wanyama wakali na watu wabaya. Hali hii imeendelea kunitokea mpaka sasa ukubwani.

Kuna jamaa nilimuuliza maana yake akaniambia nina kipaji cha kuhubiri nikaona hajatoa facts za kutosha nikampuuza. NB: Nilikuwa na mpango wa kuwa padre zaman nikapitia seminari ila nikafukuzwa na nikaona wito sina nikaanza maisha mengine.

KIBOKO IMEKUA LEO. Usiku nimeota napaa angan kama ndege kwa umbali naotaka, cha ajabu nilikuwa na nguvu mpaka nang'oa miti mikubwa bila tatizo, kibaya zaidi nilikua na mwanamke mrembo aliyeonekana kuwa mpenz wangu. Nikawa sivuji damu ata nikiumia
HII NI NINI NDUGU ZANGU? MAANA NIMECHANGANYIKIWA SASA.
 
Vonkitu

New Member
Nov 30, 2013
3
0
Kula vyakula laini wakati wa jioni...na pia punguza kupiga punyeto coz kuna siku utapaa kweli utatoka na roof.
 
Master plan

JF-Expert Member
Dec 24, 2012
3,683
2,000
Hata mimi huwa naziota sana hizo ndoto yani unapaa kwa kasi ya ajabu na ukitua kama umeikuta miti lazima ing'ooke na hauumii sehemu yeyote na wakati mwingine unajikuta unaogelea katka maji mengi masafi mara badae unaoga ten kwenye mabwawa ya ma.vi. basi tabu mara meno yanang'oka yenyewe ukiyasukuma na ulimi ili mradi kivumbi tu.
 
cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,042
2,000
Naona mtu wa karibu na sheikh yahaya aliyebaki ni kikwete tu. Nakushauri mpigie simu muulize au mfuate magogoni.
Kwi kwi kwi tehe tehee teheeeeee......Yani nimecheka mpaka lile jino ambalo halijaota limeonekana.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
36,383
2,000
Usijaze tumbo ndindindi usiku,kula simple tu matunda basi kwa mda wa week halafu utupe matokeo,pili usilale kichalichali uso juu lala kifudifudi egemeo upande wa kulia then utupe majibu.
 
mkuyati og

JF-Expert Member
Apr 19, 2011
821
1,000
Hata mimi huwa naziota sana hizo ndoto yani unapaa kwa kasi ya ajabu na ukitua kama umeikuta miti lazima ing'ooke na hauumii sehemu yeyote na wakati mwingine unajikuta unaogelea katka maji mengi masafi mara badae unaoga ten kwenye mabwawa ya ma.vi. basi tabu mara meno yanang'oka yenyewe ukiyasukuma na ulimi ili mradi kivumbi tu.

duh, wewe ni moto wa kuotea mbali!! imenibidi nicheke. pole kwa kuogelea mav.i.ni
 
utafiti

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
12,794
0
Nb. Ndoto inayojirudia hua ni yakweli na inahitaji tafsiri. Watu wakaribu wa familia wanaweza kukusaidia zaidi (bibi, babu, mama, baba, na wengine bt ndani ya familia yako) jaribu kuuliza maisha yao yakoje au yalikuaje km hawapo tena duniani
 
Kashi

JF-Expert Member
Jan 6, 2013
811
1,000
Hata mimi huwa naziota sana hizo ndoto yani unapaa kwa kasi ya ajabu na ukitua kama umeikuta miti lazima ing'ooke na hauumii sehemu yeyote na wakati mwingine unajikuta unaogelea katka maji mengi masafi mara badae unaoga ten kwenye mabwawa ya ma.vi. basi tabu mara meno yanang'oka yenyewe ukiyasukuma na ulimi ili mradi kivumbi tu.
Hiyo ya kung'oka meno kwa kusukuma na ulimi inanihusu pia.Nimeshaiota mara nyingi sana,nikishtuka naanza kujikagua mdomo duh.
 
kisukari

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
4,561
2,000
Hata mimi huwa naziota sana hizo ndoto yani unapaa kwa kasi ya ajabu na ukitua kama umeikuta miti lazima ing'ooke na hauumii sehemu yeyote na wakati mwingine unajikuta unaogelea katka maji mengi masafi mara badae unaoga ten kwenye mabwawa ya ma.vi. basi tabu mara meno yanang'oka yenyewe ukiyasukuma na ulimi ili mradi kivumbi tu.
nimeishia kucheka tu.maana ni zaidi ya super man
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom