Nashukuru mungu huwa nafanya kila niwezalo kumpa mtu haki yake hasa kama nadaiwaUnaonekana una nyota ya uongozi. Reli mara nyingi inanyooka, ni mara chache sana kukuta imepinda. Uongozi hautaki mtu mbabaishaji, na wakati huohuo anatakiwa kuwa mtu wa haki. Unaoneokana hupendi kudhurumu haki za wengine; hiyo ni sifa kuu ya viongozi.
Unesema kuna mahala ilibidi dereva wa train akuachie usukani, na wewe ukamudu kuendesha train mpaka kukaribia njia nzuri, hiyo maana yake kiongozi wakati fulani hupitia mambo magumu (nyakati ngumu) lakini hapaswi kukata tamaa na badala yake ajitahidi kuishinda hali hiyo ngumu na hatimaye kupita mapito na kurejea hali njema.
Dunia iliumbwa yenye milima na mabonde, vivyo hivyo katika maisha yetu, tukipata mema, tujue kuna wakati tutakabiliwa na ugumu. Hii ni kutokana na kanuni za asili zilizoko hapa duniani; kwa kila jema utakalopata basi ujue kuna kinyume chake (action and reaction are equal but in opposite direction).
Kikubwa tunachopaswa kuzingatia ni uvumilivu tunapokutwa na magumu; maana yanaweza kutangulia mabaya kabla ya mema; hapa wengi hukata tamaa na kuacha mazuri yanayokuja. Tuwe na ustahimilivu!
Kuna jambo linaloelekea kuyumba nawe ndio utakuwa mwokozi wake! Inawezekana ni la kifamilia, ukoo kazini ama ishu tu za kimaisha kwa washkaji nkNaombeni mnitafsirie hii ndoto,
Najua tunaotaga ndoto nyingi ila kuna ndoto ukiota inakuwa ngumu kuisahau
Ilikuwa hivi:
Sikumbuki tulikuwa wangapi ila ilikuwa ni zaidi ya watu watatu, tukiwa tunatembea pembezoni mwa reli mara likaja treni la mizigo likawa limepooza mwendo, tukaomba lifti tukapanda mimi nikawa nimekaa na dereva.
Sasa kufika kwa mbele tukakuta hakuna reli yaani ikawa tu njia ya kawaida ya vumbi nikamuuliza dereva akaniambia nichukue nimsaidie kuendesha.
Kweli nikawa naendesha japo njia ilikuwa mbovu sana makorongo na magogo mengi ila nilijitahidi sana kuipitisha treni katika njia nzuri hata kuipitisha mashambani nikikuta njia mbovu sana lakini kulikuwa na uhakika wa 100% mia kwamba huko mbele tutaingia kwenye reli.
Naombeni tafsiri ya hii ndoto.
MSHANA JR nakusubiria hapa.
Hapana unaweza kuanza kwa changamoto lakini akaumaliza vizuri sanaOngeza maombi mkuu,,
Huu mwaka utapitia magumu sana.
@Mshana JrNaombeni mnitafsirie hii ndoto,
Najua tunaotaga ndoto nyingi ila kuna ndoto ukiota inakuwa ngumu kuisahau
Ilikuwa hivi:
Sikumbuki tulikuwa wangapi ila ilikuwa ni zaidi ya watu watatu, tukiwa tunatembea pembezoni mwa reli mara likaja treni la mizigo likawa limepooza mwendo, tukaomba lifti tukapanda mimi nikawa nimekaa na dereva.
Sasa kufika kwa mbele tukakuta hakuna reli yaani ikawa tu njia ya kawaida ya vumbi nikamuuliza dereva akaniambia nichukue nimsaidie kuendesha.
Kweli nikawa naendesha japo njia ilikuwa mbovu sana makorongo na magogo mengi ila nilijitahidi sana kuipitisha treni katika njia nzuri hata kuipitisha mashambani nikikuta njia mbovu sana lakini kulikuwa na uhakika wa 100% mia kwamba huko mbele tutaingia kwenye reli.
Naombeni tafsiri ya hii ndoto.
MSHANA JR nakusubiria hapa.
Hongera, ndoto nzuri kwakoNaombeni mnitafsirie hii ndoto,