kamoja tu mmmhhh
hakikisha unakunywa maji ya baraka
ya kutosha maana maduka yote yanayouza
hayo maji yatakuwa yamefungwa kwa siku tatu..
mmmhhhhh kumbuka ngamia anabeba maji yake jangwani..
hahahahah lol
goodnite
Naona mshamaliza wenyewe....binafsi ningefanya kuongea na kaka yangu kwanza ...kumwambia wifi ingekua kitu cha mwisho kabisa baada ya kuona hamna matuamaini ya kaka kuachana na huyo nyumba ndogo wake!