figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Tulishapigwa buku ,3 eti DC a naomba mchango,mmmmmmmWalimu,manesi na watumishi wa Serikali za Mitaa mjiandae kupigwa buku 2 au 5,kuuchangia Mwenge Wetu!
aliyeandika hapa ni mwanadamu au mdudu we ni hatari sio kwa mwandiko huo jombaa!Matrafik wote nchi mzima washapewa barua,kula basi na roli wanao ili sina maisha,wanapewa bahahasha na trafiki,kisha anaadika namba ya hali,ndani take kuna barua inamtaka mmiliki wa hali achangie shilingi lakini mbili za mwenge,nimeshindwa kuituma hiyo barua.
Na fedha.This is insanity.Kupoteza muda tu
Huu mwenge kunasehemu unafanya barabar ziboreshwe lasivyo uboreshaji huo ni ndoto