Hii ndo picha GOGOGO?

gogogo anapatikana ziwa victoria, sio huyu kwenye picha, gogogo ana mdomo mreeeefu, nadhANI wamepotea kabisa au wapo wachache sana ziwa victoria
 
gogogo anapatikana ziwa victoria, sio huyu kwenye picha, gogogo ana mdomo mreeeefu, nadhANI wamepotea kabisa au wapo wachache sana ziwa victoria
kwishne, mara ya mwisho nilimla 2005. mtamu sanaaaa
 
mh kwa waliowai kufuga xamak 2namjua kama semiz fighter,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…